Mziki wa baa,Pub marufuku Zanzibar ,leseni zasitishwa
Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSFU) yasitisha kutoa leseni na kupiga marufuku maeneo yote ya Zanzibar yanayopiga mziki Bila ya kua na Soundprof ikiwemo Baa zinazopiga mziki Pub za kisasa zinazopiga…
Tanzania yafungua milango katika sekta mbalimbali ikiwemo ya tasnia ya kuku na ndege wafugwao:Waziri Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa…
Karibu kila mtu katika Ukanda wa Gaza ana njaa :WHO
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) alisema kuwa karibu kila mtu katika Ukanda wa Gaza ana njaa, akiitaja hali hii kuwa "ukatili." "@WHO inataka upatikanaji wa haraka wa misaada…
Zelenskyy apata taarifa Wakorea Kaskazini 10,000 wanaweza kujiunga na vikosi vya Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema Alhamisi kuwa serikali yake ina taarifa za kijasusi kwamba wanajeshi 10,000 kutoka Korea Kaskazini wanatayarishwa kujiunga na vikosi vya Urusi vinavyopigana dhidi ya nchi…
Daktari Bingwa wa Muhimbili afunguka “Bidhaa za Betty World ni bora kwa ngozi”
Jamii imetakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vipodozi yanayoendana na asili ya ngozi zao ili kuepusha madhara ya kiafya yanayoeeza kujitokeza kutokana na kutumia vipodozi vyenye viambata vya sumu Kauli hiyo…
Waliofariki kwenye mlipuko wa lori la mafuta Nigeria wazikwa pamoja
Maziko ya pamoja ya waathirika wa tukio la kulipuka kwa lori la mafuta yamefanyika kwenye jimbo la Jigawa nchini Nigeria. Idadi ya vifo vilivyotokana na mlipuko huo, kwa sasa imeongezeka…
Prof Sedoyeka amaliza kuhojiwa,akataa tuhuma nne zinazomkabili
Baraza la Maadili limemaliza kumhoji Mkuu wa Chuo cha uhasibu (IAA )Arusha,Profesa Eliamani Sedoyeka kuhusu tuhuma nne zinazomkabili ambapo katika majibu yake amedai hazina ukweli wowote na kwamba alifuata taratibu…
Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa Mpox yafikia 100 :CDC
Idadi ya vifo vinavyohusiana na mpox imefikia 1,000 katika milipuko inayoathiri mataifa 18 kati ya 55 barani Afrika. Mkuu wa wakala wa afya ya umma katika bara alifichua takwimu za…
Rigathi Gachagua ang’olewa madarakani
Bunge la Seneti la nchini Kenya limepitisha kura ya kumuondoa madarakani aliyekuwa Naibu Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua. Mwanasiasa huyo, alikuwa anakabiliwa na mashitaka 11, na iliwahitaji maseneta hao…
Vita ndani ya Gaza havijaisha ndio tunaanza :Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza kwamba vita huko Gaza "havijaisha" kufuatia madai ya mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar, hata kama viongozi wa mataifa ya Magharibi walielezea…