Vita ndani ya Gaza havijaisha ndio tunaanza :Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametangaza kwamba vita huko Gaza "havijaisha" kufuatia madai ya mauaji ya kiongozi wa Hamas Yahya Sinwar, hata kama viongozi wa mataifa ya Magharibi walielezea…
Hezbollah yatangaza awamu mpya, ya vita na Israel baada ya kiongozi wa Hamas kuuawa
Kundi la wapiganaji wa Hezbollah la Lebanon lilisema siku ya Ijumaa kuwa linaelekea katika hatua mpya na mbaya inayozidi katika vita vyake dhidi ya Israel huku Iran ikisema "roho ya…
Marekani yaipa kisogo Israel “tunataka iondolewe upande wa Gaza”
Marekani hatimaye inataka kuona Israel ikiondolewa kikamilifu kutoka Gaza, Wizara ya Mambo ya Nje imesisitiza. Hiyo ilikuwa ni baada ya matamshi ya waziri wa zamani wa vita vya Israel Benny…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
TASAC imeshiriki mkutano wa kimataifa wa Lojistiki na uchukuzi
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Lojistiki na Uchukuzi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo…
Maonyesho ya magari ya Tanzania Automotive Festival yanatarajiwa kufanyika Oktoba 26 -27,2024
MAONYESHO ya Magari ya Tanzania Automotive Festival yanatarajiwa kufanyika Oktoba 26 -27,2024 viwanja wa Farasi Oysterbay Dar es salaam. Akizungumzia msimu wa 12 wa maonesho hayo Mratibu wa Maonesho, Ally…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mawaziri nchini Congo wapigwa stop kusafiri kusafiri hadi 2025
Jamhuri ya Congo imesitisha safari za mawaziri na maofisa nchini humo hadi mwishoni mwa mwaka, serikali ya nchi hiyo imesema siku ya Jumatano. "Safari zote za nje za mawaziri na…