Wizara ya madini yadhamiria kurudisha minada ya ndani ya vito
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na…
Picha: Kikao Kazi Menejmenti ya Heslb na Maafisa Mikopo wa Vyuo vya Elimu ya Juu na kati wakutana Arusha
Leo Oktoba 16, 2024, Menejimenti ya HESLB imekuwa na kikao kazi na Maafisa Mikopo kutoka vyuo vikuu na vya kati kwa lengo la kupeana mikakati ya usimamizi wa fedha za…
Maonesho ya wiki ya chakula yahitimishwa Kagera,Naibu waziri afika banda la tume ya taifa ya umwagiliaji
Naibu waziri wa Kilimo Mh Devid Silinde amehitimisha maonyesho ya Wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera. Awali ametembelea mabanda ya washiriki wa maonyesho hayo likiwemo banda la…
Mourinho anamtaka Ansu kwa mkopo
Fenerbahçe ya Uturuki itajaribu kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ansu Fati kwa mkopo mwezi Januari, kulingana na Diario AS. Kocha wa Fenerbahçe Jose Mourinho alikuwa na nia ya kumleta Ansu wakati…
Thomas Tuchel awajibu mashabiki baada ya jutambulishwa kwenye kibarua kipya
Kocha mkuu mpya wa England Thomas Tuchel anasema anaelewa utata kuhusu uteuzi wake lakini anatumai rekodi yake kwenye Premier League akiwa na Chelsea inampa "makali ya Uingereza kwenye pasi yake…
Man United wanaweza kumtoa Antony kwa mkopo
Gazeti la Daily Mail linaripoti kuwa Antony anaweza kutumia kipindi cha pili cha msimu nje kwa mkopo huku Manchester United ikikubali kushindwa kutokana na mafanikio ya uhamisho wake wa £86m…
Mshambuliaji wa Chelsea Christopher Nkunku anaripotiwa kufuatiliwa na vilabu kadhaa
Fowadi wa Chelsea Christopher Nkunku anaripotiwa kufuatiliwa na vilabu kadhaa, labda ikiwa ni pamoja na Paris Saint-Germain, ingawa msimamo wa The Blues ni kwamba mchezaji huyo hauzwi. Nkunku hajapata wakati…
P Diddy ajibu tuhuma za ‘white party’ alizokuwa akiandaa
Mawakili wa Sean ‘Diddy’ Combs’ wanaonekana kuwa tayari kujitetea huku wakikabiliana na kesi mpya zilizofunguliwa dhidi ya rapa huyo. Baada ya malalamiko hayo mapya kuwasilishwa, timu ya wanasheria ya mtayarishaji…
Milan yachuana na Madrid kuwania saini ya Mastantuono
AC Milan inaripotiwa kutaka kuwashinda Real Madrid katika kumsajili nyota wa River Plate Franco Mastantuono, ripoti ya Diario AS, lakini fedha zinazohusika katika kufanya dili zingekuwa kikwazo kikubwa. Mchezaji Mastantuono,…
Mlipuko wa lori la mafuta waua karibu watu 100 Nigeria
Msemaji wa polisi nchini humo Lawan Shiisu Adam amesema hadi sasa wamethibitisha vifo vya watu 94 huku kionya kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka. Polisi wameendelea kueleza kuwa wengi wa walioathiriwa…