Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
TASAC imeshiriki mkutano wa kimataifa wa Lojistiki na uchukuzi
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Lojistiki na Uchukuzi unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es salaam leo…
Maonyesho ya magari ya Tanzania Automotive Festival yanatarajiwa kufanyika Oktoba 26 -27,2024
MAONYESHO ya Magari ya Tanzania Automotive Festival yanatarajiwa kufanyika Oktoba 26 -27,2024 viwanja wa Farasi Oysterbay Dar es salaam. Akizungumzia msimu wa 12 wa maonesho hayo Mratibu wa Maonesho, Ally…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 17, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 17, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mawaziri nchini Congo wapigwa stop kusafiri kusafiri hadi 2025
Jamhuri ya Congo imesitisha safari za mawaziri na maofisa nchini humo hadi mwishoni mwa mwaka, serikali ya nchi hiyo imesema siku ya Jumatano. "Safari zote za nje za mawaziri na…
Wizara ya madini yadhamiria kurudisha minada ya ndani ya vito
Serikali kupitia Wizara ya Madini imeazimia kurudisha minada ya ndani ya madini ya vito itakayofanyika katika maeneo ya uzalishaji hususan Mirerani, Mahenge, Tunduru, Dar es salaam, Arusha na Tanga na…
Picha: Kikao Kazi Menejmenti ya Heslb na Maafisa Mikopo wa Vyuo vya Elimu ya Juu na kati wakutana Arusha
Leo Oktoba 16, 2024, Menejimenti ya HESLB imekuwa na kikao kazi na Maafisa Mikopo kutoka vyuo vikuu na vya kati kwa lengo la kupeana mikakati ya usimamizi wa fedha za…
Maonesho ya wiki ya chakula yahitimishwa Kagera,Naibu waziri afika banda la tume ya taifa ya umwagiliaji
Naibu waziri wa Kilimo Mh Devid Silinde amehitimisha maonyesho ya Wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera. Awali ametembelea mabanda ya washiriki wa maonyesho hayo likiwemo banda la…
Mourinho anamtaka Ansu kwa mkopo
Fenerbahçe ya Uturuki itajaribu kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ansu Fati kwa mkopo mwezi Januari, kulingana na Diario AS. Kocha wa Fenerbahçe Jose Mourinho alikuwa na nia ya kumleta Ansu wakati…