Korea Kaskazini yasema vijana milioni 1.4 wajiunga na jeshi
Vyombo vya habari vya serikali ya Korea Kaskazini vilisema Jumatano kwamba karibu vijana milioni 1.4 wameomba kujiunga na jeshi au kurejea jeshini wiki hii, wakiishutumu Seoul kwa uvamizi wa kichochezi…
Wanachama 20 wa genge la Kraze Baryè nchini Haiti wauawa
Kiongozi wa moja ya magenge yenye nguvu zaidi nchini Haiti amejeruhiwa katika tukio la ufyetulianaji risasi na polisi ya Haiti na Kenya katika uvamizi wa kwanza mkubwa kwenye eneo linalodhibitiwa…
Mlipuko wa lori la mafuta laua watu 90 kaskazini magharibi mwa Nigeria
Takriban watu 90 waliuawa na wengine 50 kujeruhiwa wakati lori lililokuwa limebeba mafuta lilipolipuka kaskazini magharibi mwa Nigeria, polisi walisema Jumatano. Meli hiyo ililipuka kando ya barabara kuu ya Kano-Hadejia…
Mamia ya watoto wa Gaza wapokea chanjo za polio- WHO
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema Jumanne kwamba limeweza kuendesha kampeni ya utoaji wa chanjo za polio katikati mwa Gaza kwa maelfu ya watoto licha ya mashambulizi ya Israel kwenye…
Kongamano la vijana na Tanzania kukusanya maelfu ya Vijana Mbeya
Zaidi ya Vijana 1000 kutoka mikoa pamoja na wilaya za nyanda za juu kusini pamoja na viongozi mbalimbali wanatarajia kukutana katika kongamano kubwa linalojulikana kama VIJANA NA TANZANIA yenye lengo…
Marekani yatishia kukayisha msaada wa kijeshi kwa Israel
Marekani imetishia kukatisha utoaji wa msaada wa kijeshi kwa Israeli iwapo haitochukua hatua za kuhakikisha kwamba misaada ya kibinadamu inaendelea kuingia kama inavyostahili katika ukanda wa Gaza Onyo la Washington…
Bunge la Seneti laanza kusikiliza mswada wa kumitimua Gachagua
Bunge la Seneti nchini Kenya limeanza mchakato wa kusikiliza na kujadili mswada wa kutimuliwa ofisini kwa naibu wa Rais katika taifa hilo la Afrika Mashariki Rigathi Gachagua. Mchakato huu unaendelea…
Waziri wa zamani wa Oman Dkt. Mohammed Rumhy apewa ubalozi wa kukuza uwekezaji Zanzibar
Katika hatua muhimu ya kuvutia uwekezaji kutoka Oman kuja Zanzibar, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imemteua Dkt. Mohammed Hamed Saif Al Rumhy kuwa mwakilishi wa kukuza fursa za uwekezaji, hususan katika…
DC Bahi aitaka TAKUKURU kuwachunguza watumishi wa umma wa wilaya hiyo akiwemo askari Polisi wa kata ya ya Chipanga
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Rebecca Nsemwa ameitaka Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kuwachunguza watumishi wa umma wa wilaya hiyo akiwemo askari Polisi wa kata ya ya…
Kikosi cha Maaskari 21 wa JWTZ waanza safari ya kupandisha mwenge wa Uhuru na Benderera ya Tanzania mlima Kilimanjaro
Kikosi cha Maaskari 21 wa Jeshi la Wananchi ( JWTZ) wameanza safari ya kupandisha mwenge wa Uhuru pamoja na Benderera ya Tanzania katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya…