Wagonjwa 300 wa Mifupa Wapatiwa Huduma kwa Siku Moja Morogoro
Zaidi ya wagonjwa 300 wa mifupa wamepatiwa huduma kwa siku moja katika kambi maalum ya matibabu ya mifupa, inayotolewa na madaktari bingwa kutoka Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI), kwenye…
DC Magoti aahidi kuendeleza na kutunza miundombinu ya unawaji mikono iliyojengwa na Shirika la Water Aid Kisarawe
MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, ameahidi kuendeleza na kutunza miundombinu ya unawaji mikono iliyojengwa na Shirika la Water Aid katika uhamasishaji wa watu kunawa mikono. Magoti aliyasema hayo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 16, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October, 16 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 16, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 16, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Diddy Combs afungua faili za dhamana tena, hiki ndicho alichosema hakimu
Mkali wa muziki wa hip-hop Sean 'Diddy' Combs anatazamiwa kusalia gerezani huku mahakama ya rufaa ikijadili iwapo anafaa kupewa dhamana. Rapa huyo amekuwa akizuiliwa katika gereza la Metropolitan Detention Center…
Libya dhidi ya Nigeria iliahirishwa rasmi baada ya sakata la uwanja wa ndege
Mechi ya Nigeria ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Libya ilizama shakani baada ya kikosi cha Super Eagles kukwama usiku kucha katika uwanja wa ndege wa Al Abraq…
Kylian Mbappe amekanusha madai ya ubakaji dhidi yake
Kylian Mbappe amekanusha madai dhidi yake kuwa ni "habari za uongo" baada ya polisi wa Uswidi kuanza uchunguzi kuhusu madai ya ubakaji kumuhusu. Gazeti la Uswidi Expressen liliripoti kwamba mshambuliaji…
Mbappe ahusishwa na tuhuma za ubakaji,uchunguzi waanza
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa Sweden amebainisha siku ya Jumanne Oktoba 15, 2024 kwamba inafanya uchunguzi kuhusu ubakaji baada ya ziara ya Kylian Mbappé na wasaidizi wake wiki iliyopita huko…
Baba wa miaka 50 adaiwa kumuingilia binti yake wa miaka 6
Baba anaekadiriwa kua na miaka zaid ya 50 amedaiwa kumuingia mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 anaesoma darasa la Kwanza Mwera Visiwani Zanzibar huku mama mzazi akiwa…
Waziri Mchengerwa amewataka wananchi kuendelea kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka wananchi kuendelea kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili waweze kushiriki uchaguzi wa…