Rwanda yaona matunda udhibiti Mpox
Waziri wa afya wa Rwanda Dkt. Sabin Nsanzimana amesema idadi ya watu wanaokufa kutokana na virusi vya Marburg nchini Rwanda imekuwa chini kuliko idadi ya watu wanaopona, na kuonesha kuwa…
Jeshi la Zimamoto Laimarisha Huduma za Uokoaji Majini
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF. John Masunga, ametangaza kuwa jeshi hilo limechukua hatua madhubuti za kuimarisha kikosi cha uzamiaji na waogeleaji kwa ajili ya kuboresha huduma…
Israeli itajibu shambulio la Iran kulingana na masilahi yake
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu katika taarifa yake imesema itaangazia ushauri wa Marekani lakini itajibu shambulio la kombora la Iran kulingana na masilahi ya taifa lake. Rais…
Mchekeshaji Bambo aandika kitabu cha maisha yake ya sanaa
Mchekeshaji Mkongwe Bambo aliyedumu Kwenye Sanaa za uigizaji na Vichekesho kwa zaidi ya miaka 20 ameamua kuandika kitabu chake kinachoelezea Sanaa na Maisha ambacho anatarajia kukizindua tarehe 26, October Mbezi…
Coca Cola yazindua Kampeni ‘Food pass’ zenye zawadi kwa wateja KFC
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba…
CAF kuchunguza sakata la Timu ya Taifa ya Nigeria na benchi lake la ufundi kukwama uwanja wa ndege saa 15
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limesema limewasiliana na mamlaka za Libya na Nigeria baada ya kujulishwa kwamba Timu ya Taifa ya Nigeria na benchi lake la ufundi walikwama katika uwanja…
Raia wa Uganda afungwa miaka 5 jela kwa udanganyifu
Kenya imemhukumu raia wa Uganda kifungo cha miaka mitano jela kwa mashtaka ya udanganyifu. Kitengo cha makosa ya jinai Kenya, DCI kinasema ilibainika kuwa mnamo Juni 30, 2024, Moses Kabali…
Zimbabwe yatangaza kesi za kwanza za Mpox
Wizara ya Afya ya Zimbabwe Jumapili imethibitisha kesi mbili za kwanza za maambukizi ya mpox bila kueleza kwa kina aina kamili ya virusi hivyo. Kwa mujibu wa shirika la habari…
Marekani yaonya Iran juu ya mpango wa kumdhuru Trump
Marekani imetoa onyo kali kwa serikali ya Iran kuhusiana na mipango yake ya kudhuru rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, na kusema kwamba shambulio lolote dhidi yake litaonekana kama…
WHO yaishinisha chanjo mpya ya Mpox
Shirika la Afya Ulimwenguni –WHO lilisema Jumatatu kuwa limeidhinisha chanjo mpya ya mpox BAVA.CO kwa vijana wenye umri wa miaka 12 hadi 17, kundi linalotajwa kuwa katika hatari kubwa ya…