Watoto 400,000 wakoseshwa makazi Lebanon sababu ya vita
Afisa mmoja wa ngazi wa juu kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia watoto, UNICEF, amesema Jumatatu kwamba zaidi wa watoto 400,000 wa Lebanon wamekoseshwa makazi ndani ya wiki…
Waandamanaji 200 wanaopinga vita vya Israel dhidi ya Gaza wakamatwa
Polisi wamewakamata zaidi ya waandamanaji 200 waliokuwa wakipinga vita vya Israel dhidi ya Palestina nje ya Soko la Hisa la New York, wakidai kusitishwa kwa msaada wa kijeshi wa Marekani…
Mahakama kuamua kung’oka kwa Gachagua
Mahakama nchini Kenya inatarajiwa hii leo kutoa uamuzi wake katika kesi inayolenga kulizuia bunge la senate kujadili na kupiga kura kuhusiana na mswada unaolenga kumtimua naibu wa rais Rigathi Gachagua…
FA yamkashifu Guardiola kuhusu kuwa meneja ajaye wa England
FA imemkashifu Pep Guardiola kuhusu kuwa meneja ajaye wa England. Guardiola mkataba wake na Manchester City unamalizika msimu ujao na FA ilifanya mawasiliano naye rasmi mwanzoni mwa msimu huu. Guardiola…
Mkataba wa Sir Alex Ferguson Man United mbioni kumalizika
Sir Alex Ferguson anatazamiwa kujiuzulu nafasi yake ya ubalozi katika klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu, chanzo kilimwambia Rob Dawson wa ESPN. Uamuzi huo umechukuliwa kama sehemu ya…
Bashungwa aongoza uhamasishaji wananchi kujiandikisha daftari la wapiga kura
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye…
Loïc Badé anaweza kuwa mbadala wa Virgil van Dijk
Liverpool wanamfikiria beki wa kati wa Sevilla Loïc Badé kama mbadala wa Virgil van Dijk, El Mundo Deportivo inaripoti. Van Dijk, 33, hajatia saini mkataba wa kuongezwa na The Reds,…
Barca inalenga kandarasi tatu mpya
Inasemekana kuwa klabu ya Barcelona tayari wametanguliza "uboreshaji wa mkataba wa kimkakati" wa Pedri, Gavi na Ronaldo Araujo, ambaye mikataba yake yote inamalizika 2026, kulingana na Mundo Deportivo. Huku dirisha…
Barcelona kufanya lolote kumnasa Haaland
Barcelona wako tayari kufanya "kila kitu" kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland, kulingana na jarida la Uhispania la Sport. Uhamisho unaopendekezwa unaongozwa na Joan Laporta, ambaye anataka kufanya "usajili…
Google yanunua nguvu za Nyuklia
Kampuni ya Google imetia saini mkataba wa kwanza duniani wa kununua nishati kutoka katika vinu vidogo vya nyuklia ili kuzalisha nishati inayohitajika kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya akili bandia…