Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 7, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 7, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 7, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 7, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wananchi 161,154 wafikiwa na kampeni ya msaada wa kisheria Geita
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imewafikia wananchi 161,154 katika Mkoa wa Geita ambapo kati yao wanaume ni 80,810 na wanawake ni 80,344.…
TAKUKURU Tanga yaokoa zaidi ya Mil.76 za serikali
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imefanikiwa kuokoa kiasi cha Milioni 76,048,459.1 baada ya kuwafikisha mahakamani waliokuwa watumishi wa umma kwa tuhuma za ubadhirifu na ufujaji wa Fedha…
Raia 400 wa India warudishwa kwao na ndege ya jeshi kutoka Marekani
Maafisa wa India wameripoti kuwa raia 104 wa nchi hiyo wamefukuzwa kutoka Marekani kwa kutumia ndege ya kijeshi ambapo hatua hiyo inakuja wakati masuala ya uhamiaji kati ya nchi hizo…
Takribani watu 3000 wauawa baada ya waasi kuteka mji mkubwa DRC
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa mashambulizi yanayohusiana na kundi la waasi wa M23 yamesababisha vifo vya takriban watu 3,000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mapigano hayo yamesababisha…
Ajenda ya uimarishaji wa mikakati ya Bima ya Afya kwa Wote yajadiliwa Uswisi
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe, Februari 5, 2025 amewasilisha mada kuhusu uimarishaji wa mikakati ya Bima ya Afya kwa Wote katika siku ya tatu ya Mkutano wa 156…
Mabadiliko ya sera za Rais Trump yanaifanya Tanzania iendelee kujiimarisha kuwa na uwezo wa ndani: PM Majaliwa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mabadiliko ya sera za Rais wa Marekani Donald Trump yanaifanya Tanzania iendelee kujiimarisha na kuwa na uwezo wa ndani…
Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo nchini :Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na…
Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma wafikia asilimia 95
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, amesema ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200, litakalogharimu zaidi…