Mamia ya wanafunzi wamiminika kwa S2kizy
Wanafunzi kutoka vyuo Mbali Mbali nchini wamejitokeza kwa wingi katika studio za Producer S2kzy kwa lengo ka kurecord nyimbo zao na hii ni baada ya producer huyo kutangaza kuwafanyia wanafunzi…
Boga lenye uzito wa kilo 1,121
Mwalimu wa kilimo kutoka Minnesota, Marekani, Travis Gienger, ameshinda Taji la mashindano ya mwaka ya uzito wa Maboga huko California kwa mara ya nne mfululizo, baada ya Boga lake kuonyesha…
Korea Kaskazini yalipua barabara inayounganisha upande wa Kusini
Korea Kaskazini imelipua barabara za Korea Kusini ambazo zilikua hazitumiki tena katika eneo la kaskazini mwa Nchi hiyo leo Jumanne, October 15, 2024 Mamlaka za Korea Kusini zimethibitisha tukio hilo.…
Wananchi Zaidi ya elfu Mbili wajitokeza hamasa ya Kujiandikisha uchaguzi Ifakara
Zaidi ya wananchi elfu Mbili wa Mji wa Ifakara Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro wamefanya matembezi ya pole zaidi ya kilometa 5 Ili kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la…
Halmashauri ya mji Geita yaanza kutekeleza agizo la Serikali kutenga Billion 1 za mikopo
Halmashsuri ya Mji Geita Imeanza kutekeleza Maagizo ya Serikali ya kutenga kiasi cha Fedha Shilingi Bilioni 1 kwa robo ya Mwaka wa Fedha za Mikopo za Asilimia 10 ikiwa ni…
Marufuku kupiga picha za viumbe hai Taliban
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imeahidi kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku vyombo vya habari kuchapisha picha za viumbe hai na Wizara ya Maadili ya Taliban, kupitia Msemaji wake Saiful Islam…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 15, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Huduma ya madaktari bingwa wa mama Samia sio siasa :RC Malima
Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima amewataka wananchi kuendelea kuchangamkia fursa za huduma ya madaktari bingwa katika Maeneo Yao maarufu kama Madaktari bingwa wa mama Samia Kwa kupata huduma za…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 15Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania., 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Pep Guardiola aiomba bodi ya City kumsajili atakaye chukua nafasi Kevin De Bruyne
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameripotiwa kuiomba klabu hiyo kuwasilisha uhamisho wa nyota wa Chelsea Cole Palmer kama mbadala bora wa Kevin De Bruyne. De Bruyne kwa muda mrefu…