Pep Guardiola aiomba bodi ya City kumsajili atakaye chukua nafasi Kevin De Bruyne
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameripotiwa kuiomba klabu hiyo kuwasilisha uhamisho wa nyota wa Chelsea Cole Palmer kama mbadala bora wa Kevin De Bruyne. De Bruyne kwa muda mrefu…
Nyota huyu wa Chelsea atamaniwa na Real Madrid
Beki wa kulia wa Chelsea Reece James anaripotiwa kuwa na nia ya kuhamia Real Madrid ambayo inaweza kupamba moto tena hivi karibuni, kwa mujibu wa Simon Phillips. Nahodha huyo wa…
Kocha wa Ajax, Farioli aweka wazi msimamo wa Henderson
Kocha wa Ajax Francesco Farioli anasisitiza kuwa hataki kumpoteza kiungo mkongwe Jordan Henderson. Nahodha huyo wa zamani wa Liverpool amekuwa akihusishwa na kuhamia Sunderland Januari, ambapo alianza kazi yake ya…
LAFC, Marseille chaguzi za mapema kwa kiungo wa Juventus Pogba
Pogba ameona marufuku yake ya miaka minne ya kutumia dawa za kuongeza nguvu mwilini ikipunguzwa hadi miezi 18 baada ya kukata rufaa, kumaanisha kwamba anaweza kurejea uwanjani mwezi Machi. Kuondoka…
Mario Balotelli ahisishwa na Genoa
Genoa inaibuka kama chaguo jipya kwa sasa kwa mchezaji huru Mario Balotelli. Mshambulizi huyo wa zamani wa Italia, 34, amekuwa kwenye mazungumzo na Intercity nchini Uhispania baada ya kuondoka Adana…
Sevilla na Tottenham wamsaka nahodha wa Espanyol Javi Puado
Sevilla na Tottenham wanamtaka nahodha wa Espanyol Javi Puado. Kwa sasa Puado ndiye nahodha, mchezaji anayeongoza na mfungaji bora wa Espanyol msimu huu. Marca inasema anavutia Sevilla na Spurs kwani…
Atletico Madrid yashinikiza kumnasa Baena
Atletico Madrid wanamtaka winga wa Villarreal Alex Baena. Mundo Deportivo inasema Atlético Madrid inamtafuta mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23. Hakika, usajili wa Baena ni kipaumbele cha kwanza msimu…
Marbug imedhibitiwa Rwanda -Waziri wa afya
Baada ya Rwanda kutangaza mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg mnamo Septemba 27, Waziri wa Afya wa nchi hiyo amejaribu kuwahakikishia umma kuwa hali imedhibitiwa. Katika kikao hicho na…
Aliyeiba Amplifaya msikitini ZNZ afungwa miaka 5
Baada ya Ali Othman (25) Mkaazi wa Mchangani Zanzibar Kufanikiwa Kuiba Amplifaya ya Mskiti wa shekhe Ameir Tajo kwahani Zanzibar na kisha kuiyuza na video zake kusambaa mitandaoni akionekana kuvunja…
Pep Guardiola njia panda na kibarua cha Man City
Pep Guardiola alisema bado hajaamua kama ataendelea na Manchester City baada ya mwisho wa msimu huu. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 53 ana mkataba Etihad Stadium hadi Juni 2025…