Man City na Liverpool wanapigana vikumbo kuwanasa wachezaji Crystal Palace
Liverpool na Manchester City wanapigana vikumbo kuwania dau mbili za Crystal Palace Eberechi Eze na Adam Wharton, kulingana na Ekrem Konur. Vilabu hivyo viwili, pamoja na Tottenham Hotspur, wikendi hii…
Kauli ya Diwani wa Mikocheni Eng.Nzenzely baada ya kujiandikisha daftari la wapiga kura “Ni haki yako”
Diwani wa Kata ya Mikocheni Eng. Nzenzely Hussein Ajiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura, Atoa Wito kwa Wananchi Kujitokeza kwa Wingi Dar es Salaam, Oktoba 14, 2024 - Diwani wa…
Maonyesho ya wiki ya chakula duniani yazinduliwa mkoani Kagera
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yashiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanafanyika Mkoani Kagera. Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya…
Utalii unachangia asilimia 17 pato la Taifa
Waziri Balozi Pindi Chana afunga Onesho la 8 la Utalii la Kimataifa la Swahili, awahimiza Watanzania kutunza na kuhifadhi Rasilimali Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amefunga…
Zelenskyy aishutumu Korea Kaskazini kwa kutuma wanajeshi kuisaidia Urusi kwenye vita
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameishutumu Korea Kaskazini kwa kutuma sio tu silaha bali pia wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. "Tunaona muungano unaoongezeka kati ya Urusi…
IDF inadai kuharibu mipango 200 ya mashambulizi ya Hezbollah nchini Lebanon
Jeshi la Ulinzi la Israel lilisema Jumatatu kuwa ndege zake za kivita zililenga karibu tageti 200 za kigaidi ya Hezbollah katika operesheni yake inayoendelea dhidi ya kundi linaloungwa mkono na…
Mwanaume mwingine anaswa na bunduki kwenye mkutano wa Trump
Mwanaume mwingine amekamatwa akiwa na bunduki, vifaa vya uandishi wa Habari vya uongo na tiketi za meza kuu akijaribu kuingia katika mkutano wa Kampeni za Donald Trump huko California, Marekani,…
PICHA :Rais Samia apokea mwenge wa Uhuru, Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo mwaka 2024 Ndg,Godfrey Mzava Kwenye hafla ya kilele…
Polisi watoa ufafanuzi taarifa inayosambaa kuhusiana risiti za vifo
Jeshi la Polisi Mkoa Arusha limesema kuwa katika baadhi ya vyombo vya habari kumekuwa na taarifa inayosambaa ikisema kwenye nyumba ambayo ulikutwa mwili wa mtoto Mariam Juma aliyeuawa tarehe 12.10.2024…
Umoja wa wananfunzi wa vyuo wazindua kampeni ya “Samia for Us”
Umoja wa wananfunzi wa vyuo vya Kati na vyuo vikuu seneti ya Dar wa salaam wamezindua kampeni ya "Samia for us" yenye lengo la kutangaza kazi za maendeleo zinazofanywa na…