Picha:Rais Samia alivyo wasili uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wasili uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwenye kilele cha maadhimisho ya Mwenge wa Uhuru Kitaifa leo October 14, 2024.
Picha :yanayojiri katika maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwanza
Kutoka uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza yakifanyika maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Kitaifa, na kumbukizi ya miaka 25 ya Hayati Mwl. Julius Nyerere, huku mgeni rasmi akiwa…
Rais Samia Suluhu Hassan: Kiongozi Anayeweka Tanzania Kwenye Ramani ya Maendeleo ya Sekta ya Madini
Tarehe 13 Oktoba, 2024, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alifunga rasmi Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini yaliyofanyika…
Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Leo, Tanzania inaadhimisha Siku ya Nyerere, siku ya heshima na kumbukumbu kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kila mwaka ifikapo tarehe 14 Oktoba, taifa linakumbuka mchango mkubwa wa…
Serikali yazindua mwongozo wa kusimamia utekelezaji wa miradi ya kimkakati
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI Adolf Ndunguru amesema kuwa kuchelewa kukamilika Kwa miradi ya kimkakati Kwa wakati usababisha Serikali isipate thamani halisi ya rasilimali za UMMA nakuzolotesha juhudi…
Zimbabwe yaripoti visa viwili vya kwanza vya ugonjwa wa Mpox, baada ya Zambia
Zimbabwe imethibitisha kesi zake mbili za kwanza za mpox, siku chache baada ya Zambia kuripoti kisa chake cha kwanza. Kesi hizo, ambazo tofauti zake hazijatambuliwa, ziligunduliwa kwa watu waliotoka au…
Korea Kaskazini wapeana vitisho na Korea Kusini
Korea Kaskazini ilisema Jumapili kwamba vitengo vyake vya mstari wa mbele vya jeshi viko tayari kushambulia Korea Kusini, na kuongeza shinikizo kwa mpinzani wake ambayo ilisema iliruka ndege zisizo na…
Mashambulizi mabaya ya anga ya Israel yapiga eneo la kati la Gaza
Madaktari wa Kipalestina walisema shambulizi la anga la Israel Jumatatu lilipiga eneo la Hospitali ya Martyrs ya Al-Aqsa huko Deir al-Balah na kuua takriban watu watatu na wengine 40 kujeruhiwa.…
Rais Samia ashiriki ibada ya Misa takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 14, 2024 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Francis Xavier…
Balozi Nchimbi atoa somo UVCCM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana…