Rwanda yapata dozi 1,000 ya chanjo ya virusi vya Marburg
Taasisi ya Chanjo ya Sabin imetoa takriban dozi 1,000 za chanjo kwa Rwanda, ili kuongeza juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg. Hii ni takriban siku…
Coca-Cola Kitaa Food Fest Kigamboni yanogeshwa na vyakula asili
Kigamboni, Dar es Salaam, 13 Oktoba 2024 – Wakazi wa Kigamboni siku ya jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ ambayo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Tamasha la kimataifa la chakula DAR lapigwa tafu na Coca
Meneja Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto), akisalimiana na Mratibu wa Tamasha maarufu la vyakula 'International Food Carnival', Moureen Ian, wakati wa uzinduzi wa tamasha hilo…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 14, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 14, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Rais Samia akagua ujenzi wa daraja la J.P.Magufuli,wafikia 93%
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi…
Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika pato la taifa
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dastan Kitandula amesema kuwa Sekta ya Utalii imepiga hatua kubwa kutokana na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuipa kipaumbele Sekta hiyo hali inayochangia kukuza uchumi…
Nusu ya vituo vya afya vya Lebanon havifanyi kazi kutokana na mashambulizi ya Israel – WHO
Mfumo wa afya wa Lebanon unajitahidi kukabiliana na mahitaji yanayoongezeka ys afya huku kukiwa na mashambulizi yanayoendelea Israel, mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema. “Kati ya vituo 207…
Umoja wa Afrika walaani hatua ya Israel ya kumpiga marufuku Guterres
Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres "kuwa mtu…
Raia wa Afghanistan anayehusishwa na mshukiwa wa shambulio la uchaguzi wa Marekani akamatwa Ufaransa
Raia wa Afghanistan anayehusishwa na mshukiwa wa shambulio la uchaguzi wa Marekani akamatwa Ufaransa Kijana wa Afghanistan mwenye umri wa miaka 22 anayeshukiwa kuunga mkono kundi la Islamic State amekamatwa…