Hospitali ya Aga Khan wafanya matembezi mahsusi kuadhimisha siku ya Afya ya akili duniani
Taasisi ya Huduma za Afya ya Aga Khan Imeungana na Hoteli ya Serena, Dar es Salaam Pamoja aa Lisa Jensen Foundation kuandaa matembezi mahususi ya Afya ya Akili kupitia Mradi…
Nandy Festival kupigwa leo jijini Tanga ,bureee
NANDY FESTIVAL KUPIGWA LEO Mwimbaji Star na muanzilishi wa Tamasha la Nandy Festival, Faustina Mfinanga, (Nandy) ametangaza kufanyika kwa Tamasha la Nandy Festival Tanga siku ya leo Jumapili baada…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 13, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 13, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 13, 202
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 13, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Watatu wafungiwa leseni ya magari , akiwemo kada wa chadema
KADA wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeshitakiwa kwa kosa ka kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X kuwa ameshambuliwa na watu wasiojulikana mjini Iringa, Vitus Nkuna (29)…
Zanzibar ni salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya Kimataifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar ni nchi salama kwa utalii wa mikutano na makongamano ya kimataifa. Alhaj Dk. Mwinyi…
Rais Samia atua Mwanza kwa kishindo
Ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza imeanza siku ya leo na kwa umuhimu mkubwa katika kuimarisha maendeleo ya mkoa huo…
Wananchi Kwimba wachangia Hekari 7 kujenga kituo cha afya
Mwenge wa Uhuru 2024, umekagua na kuzindua kituo cha afya Budushi kilichopo kata ya Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza ambacho kimegharibu zaidi ya shilingi milioni 665.4. Imeelezwa Wananchi…
Waziri Ridhiwan Kikwete aongoza washiriki zaidi ya 1,000 katika mbio za hisani za kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Ridhiwani Kikwete wameongoza washiriki zaidi ya 1,000 katika mbio za hisani za kumbukizi ya miaka 25 ya kifo…
Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia
Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo alfajiri akiwa nchini India anapatiwa matibabu. Kifo cha Meja General mstaafu Mbuge kimethibitishwa na Mtoto wake Octiber 12, 2024 Mbuge leo aliagwa rasmi…