Araujo amwagia sifa Barcelona
Beki wa Barcelona Ronald Araujo amesisitiza kuwa amejitolea kuitumikia Blaugrana. Araujo anajitahidi kurejea kutoka kwenye upasuaji wa misuli ya paja aliofanyiwa kabla ya msimu mpya. Mchezaji huyo wa kimataifa wa…
Real Madrid wanataka kufanya usajili wa Januari
Mkutano wa kilele wa uhamisho wa Real Madrid uliohusisha kocha Carlo Ancelotti, mkurugenzi mkuu José Ángel Sánchez na mkurugenzi wa soka Santi Solari uliamua wiki hii kwamba usajili mpya wa…
PSG wanamtolea macho Thuram wa Inter kwa uhamisho wa majira ya joto
Paris Saint-Germain inamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa Inter Milan Marcus Thuram kabla ya uwezekano wa kuhama msimu wa joto, ripoti ya Calciomercato. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameanza…
Baada ya uchunguzi wa miaka 2, rais wa Ramaphosa aondolewa mashitaka ya pesa iliyopatikana nyumbani kwake mwaka 2022
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hatakabiliwa tena na mashtaka ya uhalifu kuhusu kashfa ya fedha ambayo ilifichuliwa zaidi ya miaka miwili iliyopita nyumbani kwake na kusababisha uchunguzi wa kitengo…
Waziri mkuu wa Haiti akutana na rais Ruto,wajadili ujumbe wa kimataifa wa usaidizi wa usalama
Waziri Mkuu wa Haiti Gary Conille alizuru Kenya siku ya Alhamisi na alipangiwa kukutana na Rais William Ruto siku ya Ijumaa. Ajenda ya mkutano huo inajumuisha ujumbe wa kimataifa wa…
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Billioni 2, kwa vijana kuwawezesha ufugaji wa samaki Mwanza
Serikali imetoa zaidi ya shilingi Billioni 2, kwa vijana wa kata ya Luchelele Jijini Mwanza kwa kuwawezesha kuwekeza katika ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya ziwa Victoria.…
Mwanamboka Kaileta Samia Fashion festival
Siku ya leo umefanyika mkutano wa waandishi wa Habari juu ya tamasha la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha pamoja vipaji vikubwa vya mavazi vya Tanzania, wataalamu wa sekta hiyo,…
Ulinzi na usalama waimarishwa zoezi la kujiandikisha Mvomero
Hali ya ulinzi na Usalama katika wilaya ya Mvomero imeimarishwa jambo ambalo limechochea Watu kujitokeza Kwa wingi Kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika eneo hilo. Akizungumza…
Kila mtu anaona ubora wake kwenye kuijenga timu :Bruno Fernandes
Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes amedai kuwa hana shaka kuhusu ubora wa kocha wa Sporting CP Ruben Amorim. Amorim anahusishwa na kibarua cha Pep Guardiola katika Manchester City huku…
Man Utd wanamchunguza beki wa pembeni wa Benfica
Manchester United wanaweza kujiandaa kukaribisha mchezaji wao wa zamani kwenye klabu wakati wa baridi. The Red Devils wanakabiliwa na tatizo la majeraha katika beki wa kushoto huku Luke Shaw na…