King Kiba kumsaini na kumtangaza msanii wa kike mwaka huu
Ikiwaa leo ni siku ya Mtoto wa kike Duniani Mwanamuziki Ali Kiba ametua Zanzibar kwa Lengo la kutoa sapport kwa wanawake kama ambavyo amekua akifanya kwa wanaume kwenye mipira kiba…
Zelensky kukutana na Papa Francis leo
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa atakutana na Papa Francis na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anapohitimisha ziara yake barani Ulaya yenye lengo la kupata uungwaji mkono kabla…
Wananchi Jitokezeni Kujiandikisha kupiga kura
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Salim ASAS amewasihi wananchi wa mkoa wa Iringa kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika vituo vya kujiandikishia kwenye maeneo yao. ASAS ametoa wito…
Jaji mkuu awataka majaji kutumia akili mnemba,”fanyeni mazoezi kuepuka afya ya akili”
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka majaji kutumia zaidi teknolojia ya akili mnemba ili kuondokana na changamoto ya mlundikano wa mashauri kwa lengo la kuboresha ufanisi wa…
UVCCM Iringa yaja na bonanza kuhamasisha vijana kujiandikisha
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Iringa umeendesha bonanza kubwa la michezo lililohusisha vijana wa shule za sekondari mkoani humo kwa lengo la kutoa hamasa kwa vijana kuona…
Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’
Jumla ya wanafunzi 588 wa shahada ya awali wamenufaika na fursa za ‘Samia Scholarships’ kwa mwaka huu 2024/2025, ambao wamepangiwa ruzuku yenye thamani ya TZS 2.9 bilioni. Wanafunzi hawa ni…
Mh.Mndeme aupongeza uongozi wa Gairo katika kumuunga mkono Rais Samia
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Christina Mndeme ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro namna jitihada zinavyochukuliwa katika kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 11, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 11, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 11, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Raia wa Korea Kaskazini walitumwa pamoja na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine, waingilia vita
Wahandisi wa kijeshi wa Korea Kaskazini wametumwa kuisaidia Urusi kulenga Ukraine kwa makombora ya balestiki, na Wakorea Kaskazini wanaofanya kazi katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Ukraine tayari wameuawa, maafisa…