Idadi ya vifo vilivyotokana na mashambulizi ya magenge Haiti yaongezeka hadi 109
Idadi ya vifo vilivyotokana na mashambulizi ya kikatili ya genge moja lenye silaha nchini Haiti wiki iliyopita imefikia watu 109 huku wengine zaidi ya 40 wakijeruhiwa. Taarifa iliyotolewa jana na…
Mazishi makubwa ya wahanga wa ajali ya feri yafanyika DRC
Mazishi makubwa yalifanyika Jumatano huko Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa wahasiriwa wa ajali ya feri iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 78. Mazishi hayo yaliyofanyika katika…
Israel ni kundi la kigaidi la Kizayuni – Rais Erdogan
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Israel inayoendelea kushambulia kwa mabomu Gaza na Lebanon ni "shirika la kigaidi la Kizayuni." Erdogan aliuambia mkutano wa chama tawala cha Haki na…
Wapalestina 16 wameuawa katika shambulio la anga dhidi ya mahema huko Gaza Kaskazini
Jeshi la Israel imewauwa takriban watu 16 na kuwajeruhi wengine katika mashambulizi yake ya anga karibu na hospitali ya Yemen al-Saeed kaskazini mwa Gaza inayozingirwa. Hossam Abu Safiya, mkurugenzi wa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Manchester City yataja majina 4 kuchukua nafasi ya Guardiola
Huku kuondoka kwa Pep Guardiola kutoka Manchester City kutajwa kukikaribia mwisho wa msimu huu, uongozi wa klabu hiyo ya Uingereza umeanza kutafuta mrithi. Mkataba wa kocha huyo Mhispania na City…
Midoli inajenga taswira na kuleta vishawishi marufuku Zanzibar
Katibu wa Baraza la Sanaa Zanzibar BASSFU Juma Chum amesema midoli inayoekwa kwenye maduka Zanzibar inaweza kupelekea vishawishi vibaya kutokana na Midoli hiyo kua na taswira pindi inapovalishwa nguo zisizofaa…
Valverde: Mbappe alinyamazisha midomo yote iliyosema hana nidhamu
Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde alimsifu mchezaji mwenzake Kylian Mbappe na kuzingatia kuwa mtu mwenye nidhamu inayoishi Real Madrid ambayo ilinyamazisha midomo yote iliyomtilia shaka. Ilisemekana kwamba Mbappe angesababisha…
Bashungwa azindua soko la Bwilingu Chalinze,wananchi wamshukuru Samia
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi…