Bashungwa azindua soko la Bwilingu Chalinze,wananchi wamshukuru Samia
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira wezeshi…
TCRA Arusha yazindua kampeni ya kupambana na utapeli mtandaoni,Meneja afunguka
Mamlaka ya Mawasiliano ya Mawasiliano Tanzania{TCRA} Kanda ya Kaskazini imeanzisha kampeni ya kuwahimiza watanzania kujilinda dhidi ya uhalifu mtandaoni kwani uwepo wa mazingira salama mtandaoni utawezesha kufikia malengo ya uchumi…
Majaji Mahakama ya Rufani watoa nasaha kuzidi kuijenga WCF
Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuendelea kutafuta maoni kuhusu sheria inayoisimamia Mfuko huo ili kuboresha utoaji wa fidia kwa…
Kishindo cha Shinyanga mapokezi ya Nchimbi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu…
Papa kukutana na Zelensky wa Ukraine huko Vatican Ijumaa
Papa Francis amepanga kukutana na rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa huko Vatican, maafisa walisema, huku vyombo vya habari vikiripoti kuwa kiongozi huyo wa Ukraine pia atakutana na waziri mkuu…
Flavian Matata anapika kwa kuangalia Youtube, aonyesha ufundi wake
Tamasha la Coca-Cola Food Fest limefanyika jana kwa ufanisi mkubwa katika viwanja vya St. Laurent Diabetes Center, Kawe, jijini Dar es Salaam. Tukio hili liliwaleta pamoja mastaa maarufu, waandaaji wa…
Baraza la Seneti la Kenya linakutana kuanza kusikiliza hoja ya kuondolewa kwa Gachagua
Baraza la Seneti la Kenya linakutana kwa ajili ya kuanza kusikiliza hoja ya kuondolewa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hoja hiyo inamtuhumu Gachagua kwa ufisadi, ukaidi, kuidhoofisha serikali na kuendesha…
Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Mpox nchini Uganda yaongezeka
Watu wengine 33 wamepimwa na kugunduliwa kuwa na virusi vya mpox nchini Uganda, na kufanya idadi ya waliothibitishwa nchini humo kufikia 69. Akiongea kwa njia ya simu na Shirika la…
Idadi ya waliofariki Gaza imefikia 42,000 huku Israel ikielekeza mashambulizi kaskazini
Mashambulizi ya Israel kaskazini mwa Gaza yamesababisha vifo vya makumi ya watu na kuwanasa mamia kwa maelfu katika muda wa saa 24 zilizopita, wanasema maafisa wa Palestina, huku mashambulizi yanayoendelea…
Wamsumbiji wapiga kura katika uchaguzi mkuu wenye ushindani mkubwa
Raia wa Msumbiji walianza mapema asubuhi siku ya Jumatano kupiga kura siku kumchagua rais wao na bunge. Upinzani unasema unahofu na wizi wa kura. Takribani wapiga kura milioni 17 katika…