Liverpool wanamtolea macho Adeyemi kuchukua nafasi ya Salah
Liverpool wanafikiria kumnunua winga wa Borussia Dortmund Karim Adeyemi, kulingana na ripots wa Sky Sports Deutschland. The Reds wanaripotiwa kumuona mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye umri wa miaka…
FBI Waonya kuhusu Wadukuzi wa Iran wanaolenga Kampeni za Kisiasa za Marekani na Maafisa wake
Wakala wa Usalama wa mtandao na FBI walichapisha mwongozo wa kuonya kwamba watendaji wa mtandao wanaofungamana na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran wanatumia mbinu za kupitia…
Netanyahu anasema mrithi wa mkuu wa Hezbollah ameuawa na jeshi la Israel
Waziri Mkuu wa Israel alisema Jumanne kwamba jeshi la nchi yake limemuua anayedhaniwa kuwa mrithi wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la Israeli huko Beirut mnamo…
Sean “Diddy” Combs aomba dhamana mara ya tatu
Sean “Diddy” Combs amekuwa akijaribu kwa bidii kutoka katika kesi ya awali ya ambayo imempelekea kuwekwa jela. Timu yake ya wanasheria inatamani sana kumtoa nje kiasi kwamba wamewasilisha rufaa ya…
Hezbollah inawalenga wanajeshi wa Israel kwenye mpaka wa Lebanon, ving’ora vyasikika kaskazini mwa Israel
Wanamgambo wa Hezbollah waliwalenga wanajeshi wa Israel karibu na kijiji cha mpakani cha Lebanon cha Labbouneh kwa makombora siku ya Jumatano, kundi hilo lilisema, siku moja baada ya Israel kusema…
Mpambano ni mkali kati ya Trump na Harris kura za maoni
Makamu wa Rais wa chama cha Kidemokrasia Kamala Harris alimuongoza mwenzake wa chama cha Republican, Donald Trump kwa tofauti ya asilimia tatu - 46% hadi 43% huku wawili hao wakisalia…
Korea Kaskazini yaamua kijitenga na Kusini ,yabomoa reli na barabara unganishi
Jeshi la Korea Kaskazini limesema litakata kabisa barabara na reli zilizounganishwa na Korea Kusini kuanzia Jumatano, na kuimarisha maeneo ya mpakani, vyombo vya habari vya serikali KCNA viliripoti. Tangazo hilo…
Mtandao wa X waanza tena huduma nchini Brazil
Mahakama ya Juu ya Brazil iliidhinisha mtandao wa X zamani Twitter kurejea tena na huduma nchini humo siku ya Jumanne, baada ya mtandao huo wa kijamii kubadili namna ya uendeshaji…
Biden anatarajiwa kuzungumza na Netanyahu siku ya Jumatano
Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuzungumza siku ya Jumatano na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, mazungumzo ambayo yatajumuisha mjadala wa mipango yoyote ya kuishambulia Iran, kwa mujibu wa…
Hezbollah ilishambulia maeneo 6 ya jeshi la Israel kwa roketi
Hezbollah ilisema ilishambulia maeneo 6 ya jeshi la Israel kwa roketi, ndege zisizo na rubani Hezbollah ilisema kuwa ilishambulia maeneo sita ya kijeshi ya Israel katika makaazi ya kaskazini mwa…