TPA imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani :Mbossa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko…
Israel isithubutu kutushambulia kwa namna yoyote :Iran
Iran inatishia 'majibu mabaya' kwa shambulio lolote la Israel Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi aliapa "jibu kali" kwa mashambulizi yoyote ya Israel dhidi ya nchi yake.…
Takriban wanajeshi 50 wa Israel wamejeruhiwa huko Gaza na Lebanon
Takriban wanajeshi 48 wa Israel walijeruhiwa huko Gaza na Lebanon katika muda wa saa 24 zilizopita, kwa mujibu wa tovuti ya jeshi la Israel. Israel iliendeleza mashambulizi yake ya ardhini…
Ryan Mason wa Tottenham katika mazungumzo na klabu mpya kuhusu nafasi ya kocha mkuu
Kocha msaidizi wa Tottenham Ryan Mason amefanya mazungumzo ya kuwa meneja wa Anderlecht. Klabu hiyo ya Ubelgiji inawinda kusaka kocha mpya baada ya kumfukuza Brian Riemer mwezi uliopita, ambaye alikuwa…
Wabunge wanaofanya kazi ya kushughulikia kero za wananchi tutawaunga mkono,wasio saidia 2025 tutawakata
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Maswa Mashariki amesema kuna Wabunge wanafanya kazi nzuri sana kwenye kuzungumzia shida na kero za wananchi…
Serikali yawaonya waandikishaji kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa “Utakayoyajua hupaswi kumwambia mtu”
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,serikali wilayani Njombe imewaonya waandikishaji wa vituo 227 vya uchaguzi waliokula kiapo Cha utii na Uadilifu kutotoa siri za mchakato huo kwani ni kinyume cha…
Mkutano wa kwanza Uwekezaji sekta ya Nishati kufanyika DSM
Mkutano wa kwanza wa Uwekezaji katika Sekta ya Nishati Tanzania unatarajiwa kufanyika tarehe 12-13 Novemba 2024 jijini Dar es Salaam, ukiungwa mkono na washirika muhimu kutoka sekta binafsi na serikali.…
Manchester City yaishutumu Ligi Kuu ya Uingereza kwa kutoa taarifa za kupotosha
Manchester City imeishutumu Ligi Kuu ya Uingereza kwa kutoa taarifa za kupotosha baada ya kesi ya kisheria inayohusu kanuni za mikataba ya kibiashara. City iliandika barua kwa vilabu vingine 19…
Serikali yaanza kujenga maabara za Kisasa Kilimanjaro,Shule elfu nne kunufaika
Wakati sayansi na teknolojia ikikuwa kwa kasi nchini, serikali imeanza utekelezaji wa ujenzi wa maabara za kisasa za Teknolojia, habari na mawasiliano(Tehama) mkoani Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuongeza idadi ya…
Wakulima Nchini washauriwa kujiunga na Ushirika na kutumia Mfumo wa Stakabadhi Ghalani
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amewataka wakulima nchini kujiunga Katika Vyama vya ushirika ili kunufaika kupitia sekta ya kilimo na kukabiliana na changamoto za masoko pindi wanapotaka kuuza…