Mlimba kutoa mikopo ya asilimia 10 ya Bil.2.2
Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro imetenga zaidi ya shilingi bilioni 2.2 kwa ajili ya mikopo ya asilimia Kumi ya vijana,wanawake na walemavu . Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri…
Ufaransa yagundua kisa cha kwanza cha mpox
Ufaransa imegundua kisa chake cha kwanza cha virusi vya mpox, wizara ya afya ilisema Jumatatu, wiki kadhaa baada ya Shirika la Afya Ulimwenguni kudumisha kiwango chake cha tahadhari wakati wa…
Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ajiuzulu
Utawala wa Trudeau, ambaye amekuwepo madarakani tangu mwaka 2015, umekumbwa na ‘sintofahamu’ inayotokana na kukosekana kwa imani juu ya uongozi wake, hasa baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha…
Zaidi ya watu 50 wamekufa kutokana na tetemeko kubwa la ardhi kupiga China
Takriban watu 53 wamekufa baada ya tetemeko kubwa la ardhi kupiga eneo la mbali la China la Tibet Jumanne asubuhi. "Watu 53 wamethibitishwa kufariki na wengine 62 kujeruhiwa kufikia Jumanne…
Leao anaweza kuwa bora zaidi duniani ;Kocha
Kocha wa Milan Sergio Conceicao alizungumza na vyombo vya habari, baada ya kushinda Kombe la Super Cup la Italia kwa mabao 3-2 Kocha huyo alisema: “Nimefurahishwa sana na wachezaji, kwa…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 7, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri Dkt Mwigulu atoa tamko,aagiza biashara zisifungwe wa wanaodaiwa
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kwa kuongeza makusanyo ya kodi kutoka sh. trilioni 22.2 mwaka wa fedha 2021/22 hadi kufikia…
Bashungwa awakutanisha polisi na LATRA kujadili mikakati ya kuzuia ajali za barabarani
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameongoza kikao kilichoikutanisha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jeshi la Polisi Tanzania pamoja na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini…
Tembo amuua mwangalizi wake aliyekua akimuogesha
Tembo amemuua mwanamke mmoja raia wa Uhispania alipokuwa akimwogesha mnyama huyo katika kituo cha tembo nchini Thailand, wamesema polisi wa eneo hilo. Blanca Ojanguren García, 22, alikuwa akiosha tembo katika…
Tottenham Hotspur wanafikiria kumnunua mshambuliaji wa PSG Randal Kolo Muani
Tottenham wamejadili kuhusu kumnunua fowadi wa PSG Randal Kolo Muani, ambaye anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo ya Ufaransa mwezi huu, Ben Jacobs anaripoti. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26…