Barcelona inatafakari kuondoka kwa De Jong mnamo 2025
Barcelona wanaweza kumruhusu Frenkie de Jong kuondoka katika msimu wa joto ili kuepuka kupoteza kiungo huyo kwa uhamisho wa bure mkataba wake utakapokamilika 2026, ripoti ya Diario Sport. Kuna mijadala…
Kesi inayomkabili afisa wa Jeshi la polisi kubaka na kumlawiti binti wa Yombo yaahirishwa leo
Kesi inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi 'AFANDE' Fatma Kigondo ya kuratibu kubaka na kulawiti kwa kundi kwa Binti wa Yombo Dovya, Jijini Dar es salaam imeahirishwa leo Oktoba 07,…
Simba SC kapangwa na Waarabu,Ahmed Ally hata haogopi vibe kama lote
Shirikisho la soka Afrika (CAF) muda mchache uliopita limepanga Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC ya Tanzania ambao ndio wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo wamepangwa…
Meya wa zamani wa Ubungo, Bonifave Jacob aachiwa kwa dhamana,azungumza kwa mara ya kwanza
Meya wa zamani wa Ubungo, Bonifave Jacob amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kuachiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akisema ameingia kama mahabusu lakini ametoka akiwa…
Ukraine yashambulia kituo cha mafuta katika eneo la Urusi
Ukraine imesema mapema Jumatatu kwamba vikosi vyake vimekishambulia kituo cha mafuta katika eneo la Crimea linalodhibitiwa na Urusi tangu mwaka 2014. Mamlaka zilizowekwa na Urusi huko Crimea zilisema shambulizi lilisababisha…
Zaidi ya watu 300 wafariki kwa ugonjwa wa kipindupindu Nigeria
Takwimu cha Kituo cha kudhibiti Magonjwa NCDC kimeonesha kuwa hilo ni ongezeko la asilimia 239 katika kipindi kama hiki mwaka uliopita. Zaidi ya watu 350 wamekufa kutokana na ugonjwa wa…
Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji kufanyika siku ya Jumatano
Kampeni za uchaguzi mkuu zimemalizika usiku wa manane siku ya Jumapili. Wapiga kura milioni 5.3 wameitwa kupiga kura siku ya Jumatano Oktoba 9 kumchagua rais mpya na wajumbe wa mabunge…
Rwanda yaanza kampeni ya chanjo dhidi ya virusi vya Marburg
Rwanda imeanza kutoa chanjo dhidi ya virusi vya Marburg tangu Jumapili Oktoba 6, 2024, gonjwa ambao umesababisha vifo vya watu 12 kati ya wagonjwa 41 walioorodheshwa nchini humo tangu mwisho…
Idadi ya waliofariki Gaza inakaribia 42,000 katika kumbukumbu ya mwaka mmoja
Takriban Wapalestina 39 zaidi waliuawa katika mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kufanya jumla ya vifo tangu Tel Aviv ilipoanzisha vita vyake vya mauaji ya halaiki mwaka…
Samia kilimo biashara Expo msimu wa 3 yaanza kwa kishindo Gairo
Maonesho ya aina yake ya SAMIA Kilimo Biashara yameanza Jana Wilayani Gairo huku yakihudhuriwa na maelfu ya Wananchi walioshiriki ili kupata huduma mbalimbali kutoka kwa wadau wa Sekta ya Kilimo,…