Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
TAMASHA la Miaka 60 ya Msondo Ngoma Music Band kufanyika Octoba 26
TAMASHA la Miaka 60 ya Msondo Ngoma Music Band Baba ya muziki linatarajia kufanyika Oktoba 26 mwaka huu katika viwanja vya Gwambina Lounge zamani TCC Club Changombe jijini Dar es…
Rasmi Swissport yaingia makubaliano na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM “Kiwanja cha Julius Nyerere”
Kampuni ya Swissport Tanzania imeingia makubaliano ya kufanyakazi na Shirika la Ndege la Ufaransa na KLM katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kwa mujibu wa Mkurugenzi…
Mwinyi “Tutashirikiana na sekta binafsi kufikia malengo ya afya”
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema wanahitaji kuimarisha ushirikiano sekta binafsi na washirika wa maendeleo ili kufikia malengo ya afya bora kwa wananchi wote na kuondosha changamoto zinazoikabili sekta…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Son atakosa mechi za Korea Kusini za kufuzu Kombe la Dunia
Kocha mkuu wa Tottenham Hotspur Ange Postecoglou anasema nahodha Son Heung-min "haina uwezekano" kuwepo kwa safari yao ya kwenda Brighton & Hove Albion Jumapili. Son alikosa ushindi wa 3-0 Jumapili…
Hiki ndicho kinachonitia wasiwasi, na mechi ngumu inatungoja : Ancelotti
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti alionekana katika mkutano na waandishi wa habari, kuzungumzia mechi ya kesho dhidi ya Villarreal katika raundi ya tisa ya La Liga. Kocha huyo alisema:…
Ancelotti azua mashaka ndani ya Real Madrid
Ripoti ya vyombo vya habari vya Uhispania ilisema kwamba kuna shaka ndani ya klabu ya Real Madrid kuhusu mwenendo wa timu hiyo msimu huu hadi sasa. Kwa mujibu wa mtandao…
Arsenal wanamtazama mshambuliaji wa Barcelona Arnau Pradas
Arsenal wameripotiwa kuonesha nia ya kutaka kumnunua nyota wa Barcelona, Arnau Pradas, inaripoti Mundo Deportivo. Akiwa na umri wa miaka 18 pekee, Pradas amekuwa akizivutia vilabu mbalimbali vya Premier League,…