Mtoto wa Michael Jordan anaswa akiwa na madawa ya kulevya aina ya Cocaine
Marcus Jordan Mtoto wa aliyekua Gwiji wa Mpira wa kikapu Michael Jordan, amekamatwa huko Florida kwa tuhuma za kuendesha Gari akiwa amelewa na kumiliki dawa za kulevya aina ya cocaine…
Mlemavu wa macho aliyepewa silaha azua mijadala
Raia wa Marekani Terry Sutherland ambaye ni Mlemavu wa macho ameibua mjadala baada ya kupata kibali cha kumiliki bunduki licha ya hali yake ya upofu. Sutherland ambaye anatumia fimbo maalum…
Nigeria yaandamwa na milipuko ya malori ya mafuta
Lori la mafuta lililipuka Jumanne jioni katika kituo cha kujaza mafuta karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Yola kaskazini mashariki mwa Jimbo la Adamawa nchini Nigeria, huku watu…
Elon Musk aamua kudili na USAID,adai imepoteza pesa nyingi
Serikali ya Donald Trump imefichua nyaraka zinazoonyesha jinsi Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) lilivyofadhili miradi inayodaiwa kuwa isiyo na tija, huku baadhi ya fedha zikitolewa siku chache…
Aliyesema anauwezo wa kukwepa risasi auawa bahati mbaya
Ashton Mann kutoka Kearns, Utah Nchini Marekani amekamatwa kwa tuhuma za kumuua Rafiki yake bila kukusudia baada ya kujaribu kuthibitisha kauli ya Rafiki yake kwamba anaweza kukwepa risasi. Taarifa inaeleza…
M23 yaanzisha mashambulizi mapya
Kundi la waasi la Machi 23 (M23) na wanajeshi wa Rwanda wameanzisha mashambulizi mapya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) siku ya Jumatano, Februari 5, kuelekea Bukavu, mji…
TFRA yaendelea kukuza sekta ya mbolea kwa ushirikiano na Wazalishaji wadogo
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, ameongoza kikao muhimu na wazalishaji wadogo na wa kati wa mbolea nchini ili kujadili suala la utekelezaji wa…
Hofu ya magonjwa ya miripuko yatanda katika mji wa Goma
Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa katika mji wa Goma wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unaokaliwa kwa mabavu, alisema jana Jumatano kuwa mji huo uko katika hali mbaya…
Trump atia saini amri ya kupiga marufuku wanawake waliobadili jinsia kushiriki michezo ya kike
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya utendaji inayozuia wanawake waliobadili jinsia kushindana katika kategoria za michezo za wanawake. Agizo hilo linatoa mwongozo, kanuni na tafsiri za kisheria,…
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali inayoendelea nchini Kongo
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda walipata nguvu mashariki mwa Kongo siku ya Jumatano licha ya usitishaji vita wa upande mmoja waliotangaza mapema wiki hii, wakidhibiti mji ulio umbali wa maili…