Israel italipa gharama ya mauaji ya halaiki ya Gaza – Erdogan anasema katika ujumbe wa Oktoba 7
Rais wa Uturuki Erdogan atoa salamu za rambirambi kwa watu wa Palestina na Lebanon kutokana na mauaji ya makumi ya maelfu ya watu yaliyofanywa na serikali ya Israel tangu tarehe…
Dkt.Tulia na rais wa Hungary wajadili hali ya amani duniani
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 8 Oktoba, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo…
Serikali yasaini mikataba ya ujenzi wa madaraja 13 yaliyoathiriwa na mvua Lindi
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Tuwatoe hofu uchaguzi utakuwa wa huru na wahaki:Waziri Lukuvi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema serikali imejipanga kuandaa mazingira bora ya uchaguzi kwa vyama vyote vya siasa nchini kuwa dhamira ya…
Mkurugenzi WHO Africa Ndugulile azindua matibabu bure ya macho
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Dunia Kanda ya Afrika, Dkt Faustine Ndugulile, ambae pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni, amewaasa wananchi kujenga utaratibu wa kupima afya zao ili…
Rais Dkt.Samia anamatumaini makubwa na Taifa Stars :Majaliwa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam…
Real Madrid waanza kutafuta mbadala wa Carvajal – vyanzo
Real Madrid wameanza kutafuta beki wa kulia kuchukua nafasi ya Dani Carvajal aliyejeruhiwa, licha ya klabu hiyo ya LaLiga inafahamu kuwa kupata mchezaji sahihi katika dirisha la usajili la Januari…
Chido Obi-Martin amethibitisha uhamisho wa Man United kutoka Arsenal
Chido Obi-Martin alithibitisha kuwa amesajiliwa na Manchester United kutoka Arsenal na chapisho la Instagram Jumamosi. Fowadi huyo mwenye umri wa miaka 16 alivutia kiwango chake katika timu za vijana za…