Trump atia saini amri ya kupiga marufuku wanawake waliobadili jinsia kushiriki michezo ya kike
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya utendaji inayozuia wanawake waliobadili jinsia kushindana katika kategoria za michezo za wanawake. Agizo hilo linatoa mwongozo, kanuni na tafsiri za kisheria,…
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali inayoendelea nchini Kongo
Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda walipata nguvu mashariki mwa Kongo siku ya Jumatano licha ya usitishaji vita wa upande mmoja waliotangaza mapema wiki hii, wakidhibiti mji ulio umbali wa maili…
Kenya yatoa hakikisho la kutoondoka Haiti
Serikali ya Kenya imedai kiwa ingawa Marekani imekata ufadhili wa dola Mil 15 fedha kwa ajili ya mpango wa amani nchini Haiti haitoathiri maafisa wake walio huko na hawatoondoka Ujumbe…
Wizara ya nishati yapokea wazo la kuwaunganishia umeme wananchi na kulipa kidogo kidogo
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea wazo la mbunge wa jimbo la Tanga mjini la kuwaunganishia umeme wananchi na kulipa kidogo kidogo kupitia matumizi ya kila siku ili wananchi wasiokuwa…
Endeleeni kutoa elimu ya chanjo kwa akina mama pamoja na elimu ya mabagi
Katibu tawala wilaya ya Geita , Lucy Beda amewaelekeza waratibu wa Chanjo pamoja na watendaji wa kata kuhakikisha wanapeleka elimu ya chanjo Mashuleni pamoja ili wanafunzi waweze kuelewa na kuchukua…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 6, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 6, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 6, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 6, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Barcelona waamua kukaa kimya malalamiko ya Real Madrid
Barcelona waliamua kukaa kimya baada ya malalamiko ya Real Madrid ambayo aliwasilisha kuhusiana na usuluhishi huo kufuatia utata uliotokea kwenye mechi ya Timu ya Royal dhidi ya Espanyol katika hatua…
Uganda yakanusha taarifa za kupeleka wanajeshi zaidi DRC
Uganda imepeleka zaidi ya wanajeshi 1,000 wa ziada Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wiki iliyopita karibu na eneo ambalo serikali ya DRC inapambana na waasi wa M23, vyanzo…
CAG kichere aipa heko Tanroads ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere amepongeza kasi ya ujenzi wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato wenye ukubwa wa hekta 4,500 (…