Hospitali za Lebanon ‘zimezidiwa’ na wagonjwa waliojeruhiwa
Mfumo wa huduma za afya nchini Lebanon umetatizika kuendana na idadi ya watu waliojeruhiwa katika mapigano kati ya Israel na Hezbollah, mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni Tedros Adhanom Ghebreyesus…
Urusi imesema watu 4 wameuawa na wengine 24 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la ndege zisizo na rubani za Ukraine
Urusi ilisema siku ya Alhamisi kuwa takriban watu wanne waliuawa na 24 kujeruhiwa usiku kucha kutokana na shambulio la kombora la Ukraine katika eneo la mpaka wa Belgorod. "Jana usiku…
Shambulio la Israel kwenye jengo la ghorofa katikati mwa Beirut laua watu sita
Takriban watu sita waliuawa katika shambulio la anga la Israel kwenye jengo la ghorofa katikati mwa Beirut, Wizara ya Afya ya Lebanon imesema. Watu wengine 11 walijeruhiwa katika shambulio hilo…
Serikali yaangukiwa kukiongezea bajeti kitengo cha elimu ya watu wazima
Serikali imetakiwa kuongeza bajeti kwa ajili ya kitengo cha elimu ya watu wazima ili kuboresha na kuongeza ufanisi kwenye kitengo hicho ambacho kimekuwa na msaada mkubwa katika kuongeza uelewa kwa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 3, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 3, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Kijana asiyeona mwenye kipaji kikali cha kuimba, anatoka kambi ya Nyarugusu, afunguka mengi kumuhusu
Kutana na Kijana @GodfreyMteule6 (19) mkazi wa kambi ya wakimbizi Nyarugusu Kigoma mwenye tatizo la kutoona(Kipofu) akiwa na kipaji cha uimbaji ambaye anasema pamoja na kua ni mtu asiyeona lakini…
R. Kelly’s Karma: A Daughter’s Journey kutoka hivi karibuni
Binti wa R. Kelly, Buku Abi anadai yupo mbioni karibia kuweka wazi siri ambayo itatikisa hisia za kila mtu katika filamu mpya kuhusu baba yake . R. Kelly’s Karma: A…
Drake awa-Unfollow mastaa kwenye Instagram yake
Drake ameamua kufanya usafi kwenye Instagram page yake akiwa-unfollow wapinzani kadhaa na hii imewashangaza mashabiki wengi. Drake aliwa-unfollow Kendrick Lamar, Rick Ross na Joe Budden,nyota wa NBA LeBron James na…
Mashambulizi ya anga ya Israel kusini mwa Gaza yawaua watu 32 -madaktari wa Palestina
Takriban watu 32 wameuawa katika mashambulizi ya Israel kusini mwa Gaza usiku wa kuamkia leo, maafisa wa afya wa Palestina walisema. Hospitali ya Ulaya katika mji uliokumbwa na msukosuko mkubwa…