Hakuna afueni kwani Israel inazidisha mashambulizi makali upande wa Gaza
Baada ya kisasi cha Iran, jeshi la Israel limekuwa likizidisha mashambulizi kwenye Ukanda wa Gaza. Kuna kiwango kikubwa sana cha vifo na majeruhi miongoni mwa raia katika maeneo ya kati,…
Chaguzi ya Arsenal kutaka kumnunua mshambuliaji wa Aston Villa Jhon Duran ni sahihi -Yorke
Mchambuzi wa soka na mshambulizi wa zamani wa Manchester United Dwight Yorke ameunga mkono Arsenal kutaka kumnunua mshambuliaji wa Aston Villa Jhon Duran. Meneja wa Arsenal Mikel Arteta alitarajiwa kusajili…
Miamba 4 wa Ulaya wanazunguka Bayer Leverkusen kumuwinda Florian Wirtz
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameanza msimu vyema. Kiungo huyo mshambuliaji alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mechi wakati Bayer Leverkusen ilipoilaza AC Milan 1-0 kwenye Ligi ya Mabingwa jana…
Scarles asaini mkataba mpya wa muda mrefu na West Ham
Kipa wa West Ham United Ollie Scarles ametia saini mkataba mpya wa muda mrefu ambao utamweka katika klabu hiyo hadi msimu wa joto wa 2028. Scarles amekuwa katika klabu hiyo…
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu afanya mkutano muhimu na wakuu wa usalama mjini Tel Aviv
Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa Israel, alifanya mkutano na wakuu wa usalama akiwemo Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant na mkuu wa majeshi, Herzi Halevi. Mkutano huo ulifanyika katika wizara ya…
Azma ya Arsenal kujaribiwa vikali na wababe wa Euro
Beki wa Arsenal, William Saliba anaripotiwa kuwindwa na klabu ya Paris Saint-Germain, ambayo inaweza kuwa tayari kuweka kiasi cha Euro milioni 100 kwenye meza ya The Gunners kwa ajili ya…
Rais wa Georgia akataa kutia saini Mswada wa kupinga LGBT kuwa Sheria
Rais wa Georgia Salome Zurabishvili amekataa kutia saini kuwa sheria mswada ulioidhinishwa na bunge mwezi uliopita ambao mashirika ya kutetea haki za binadamu na wanasiasa wengi wa upinzani wanasema unakandamiza…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ni mtu asiyestahili nchini Israel -Israel Katz
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Israel Katz ametangaza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ni mtu asiyestahili nchini Israel, na kumzuia kabisa kuingia nchini humo.…
Mkaguzi kata ya Kisangura azidi kupeleka furaha kwa wananchi
Mkaguzi kata ya Kisangura Wilayani Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/Insp Genuine Kimario amezidi kupeleka furaha kwa wananchi anaowahudumia katani hapo kwa kutoa viti mwendo kwa wananchi…
Papa atoa wito wa siku ya maombi katika maadhimisho ya tarehe 7 Oktoba
Papa Francis atoa wito kwa siku ya maombi ya amani mnamo Oktoba 7, siku ya kumbukumbu ya shambulio baya la Hamas dhidi ya Israeli, huku hali ya wasiwasi Mashariki ya…