Samuel Eto’o apigwa marufuku kuhudhuria mechi za timu ya taifa
Mkuu wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot) Samuel Eto'o amepigwa marufuku kuhudhuria mechi za timu ya taifa kwa muda wa miezi sita baada ya kukiuka kanuni za nidhamu za…
Huenda Navalny aliwekewa sumu akiwa Gerezani, Kundi la Upelelezi linasema
Mwanasiasa wa upinzani wa Urusi na mkosoaji mkubwa wa Kremlin Aleksei Navalny, ambaye alifariki gerezani mwezi Februari, huenda alipewa sumu, kundi la uchunguzi la Insider lilisema, likinukuu nyaraka rasmi ambazo…
Awaka moto baada ya kugusa nyaya za juu kwenye Treni ya umeme
Kijana mwenye umri wa miaka 14 amewaka moto baada ya kugusa nyaya za juu kwenye Treni ya umeme ya kubebea mizigo Nchini Urusi, jambo lililosababisha ajali mbaya. Katika tukio hilo,…
Aston Villa wanadaiwa kutaka kumsajili winga wa Villarreal Yeremy Pino.
Winga huyo mwenye umri wa miaka 21 ndiye anayelengwa na klabu hiyo ya West Midlands kulingana na ripoti kutoka TBR Football. Itafurahisha kuona ikiwa Aston Villa itaamua kumnunua katika siku…
Uamuzi juu ya dhamana ya Meya wa zamani, Boniface Jacob kutolewa Octoba 7 2024
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga October 7, 2024 kutoa uamuzi juu ya dhamana ya Meya wa zamani, Boniface Jacob baada ya hii leo kutupilia mbali maombi ya Serikali juu…
Michezo kuhamasisha wananchi kushiriki uchaguzi Mpimbwe
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga halmshauri ya Mpimbwe Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wameoneshana ubabe katika tamasha maalum la kuhamasisha watu kushiriki zoezi.la kujiandikisha katika orodha ya wapiga…
Msonde afika Baraza la Taifa la Ujenzi “ Serikali inataka kuwatumia Wakandarasi wazawa”
Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde ametembelea Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kujifunza mambo mbalimbali kuhusu baraza hilo na kufahamiana na watumishi ikiwemo menejimenti,…
Maandamano ya kupinga gharama za juu za maisha Nigeria kuanza tena leo
Nigeria inatarajia kushuhudia maandamano mapya hii leo Jumanne wakati wananchi watapokusanyika kupinga gharama ya maisha.Maandamano hayo yaliyopewa jina la 'Bila woga Oktoba 1' yamepangwa kuendana na maadhimisho ya miaka 64…
Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya ya Mufindi, Jasmine Ng'umbi, ametoa simu janja kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Iringa, akisisitiza kuwa zitatumika kuimarisha zoezi la usajili…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.