Taliban wafungia kituo cha redio cha wanawake nchini Afghanistan
Mamlaka ya Taliban nchini Afghanistan ilivamia kituo cha redio cha wanawake maarufu cha Radio Begum siku ya Jumanne, na kuwakamata wafanyakazi wawili, shirika hilo la utangazaji lilisema, likitoa wito wa…
Iran inatengeneza kwa siri makombora ya nyuklia
Iran inatengeneza kwa siri makombora ya nyuklia yenye uwezo wa kufika Ulaya kulingana na miundo iliyokabidhiwa kwa utawala wa Kiislamu na Korea Kaskazini, ripoti mpya iliyotolewa na Baraza la Kitaifa…
Mazishi ya halaiki yafanyika Goma huku familia zikidai amani
Wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu mjini Goma wamefanya maziko ya halaiki siku ya Jumanne, wiki moja baada ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kuuteka mji huo. Waziri wa Mambo…
Washirika wa Marekani wakataa pendekezo la Trump la kuchukua Ukanda wa Gaza
Pendekezo la Rais Donald Trump kwamba Marekani ichukue Ukanda wa Gaza na kuwapa makazi ya kudumu wakazi wake wa Palestina lilikataliwa haraka na kukashifiwa siku ya Jumatano na washirika na…
Hamas inasema mazungumzo kuhusu awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yameanza
Msemaji wa Hamas ametangaza kuwa mazungumzo kuhusu awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza yameanza na kusema, "kipaumbele chetu ni kuwahifadhi na kuwasaidia watu wetu, pamoja na…
Trump asema Marekani itaikalia Gaza na kuifanyia kazi
Rais Donald Trump amesema Marekani itaikalia Gaza iliyokumbwa na vita, alipokuwa akihutubia waandishi wa habari katika Ikulu ya White House baada ya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu…
Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Marekani yanashutumu mkutano wa Trump-Netanyahu
Makundi ya kutetea haki za binadamu siku ya Jumanne yalilaani mkutano wa Rais Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na kumtaka kukataa ushawishi wa Waziri Mkuu na…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 5, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 5, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 5, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 5, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
DC Moro aipongeza kilombero sukari kuedeleza ushirikiano na wadau
Kampuni ya sukari Kilombero, leo imeandaa Mkutano wa Wadau ambao umewakutanisha na viongozi wapya wa serikali za mitaa pamoja na wadau wengine kutoka bonde la kilombero muhimu kwa lengo la…