Maandamano ya kupinga gharama za juu za maisha Nigeria kuanza tena leo
Nigeria inatarajia kushuhudia maandamano mapya hii leo Jumanne wakati wananchi watapokusanyika kupinga gharama ya maisha.Maandamano hayo yaliyopewa jina la 'Bila woga Oktoba 1' yamepangwa kuendana na maadhimisho ya miaka 64…
Jasmine Akabidhi Simu janja , kwaajili ya Uvccm Kukamilisha uchaguzi
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Wilaya ya Mufindi, Jasmine Ng'umbi, ametoa simu janja kwa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Iringa, akisisitiza kuwa zitatumika kuimarisha zoezi la usajili…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania October, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mwenge wa uhuru wahitimisha kukimbizwa Kagera,wafika kwenye mradi wa KADERES na RUWASA .
Mwenge wa Uhuru umehitimisha mbio zake Mkoani Kagera na kukabidhiwa Mkoani Geita tayari kwa ajili ya kukimbizwa Mkoani humo. Kwa Mkoa wa Kagera umemalizia katika Wilaya ya Muleba ambapo umekagua…
Waziri Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa AMREF
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Septemba 29, 2024 alifanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Amref Health Africa Dkt. Githinji Gitahi, kando ya Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa…
Kampuni ya META yapigwa faini kwa kutolinda nywila[password] za watumiaji wake
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Ireland (DPC) imeipiga faini ya takriban Tsh. Bilioni 273 Kampuni ya META baada ya kubainika 'Passwords' za Watumiaji Milioni 600 wa Facebook zilivujishwa…
‘Mwishowe, nimeshinda,’ mfungwa aliyetumikia kifungo cha muda mrefu zaidi duniani azungumza
Mfungwa aliyehukumiwa kifo kwa muda mrefu zaidi duniani aliwashukuru wafuasi wake kwa kumsaidia kupata "ushindi kamili" baada ya mahakama ya Japan wiki iliyopita kubatilisha hukumu yake ya mauaji ya miongo…
Dembele aondolewa kwenye kikosi cha PSG kitakachomenyana na Arsenal
Fowadi wa Ufaransa Ousmane Dembele ameachwa nje ya kikosi cha PSG kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Arsenal Jumanne baada ya sakata la kuzozana na…
Bayern wanamtaka kipa wa Liverpool
Bayern Munich wanamfuatilia mlinda mlango wa Liverpool Alisson Becker, kwa mujibu wa The Sun. Huku mchezaji wa zamani wa Bayern Manuel Neuer akielekea mwisho wa maisha yake ya soka, mchezaji…