Dembele aondolewa kwenye kikosi cha PSG kitakachomenyana na Arsenal
Fowadi wa Ufaransa Ousmane Dembele ameachwa nje ya kikosi cha PSG kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Arsenal Jumanne baada ya sakata la kuzozana na…
Bayern wanamtaka kipa wa Liverpool
Bayern Munich wanamfuatilia mlinda mlango wa Liverpool Alisson Becker, kwa mujibu wa The Sun. Huku mchezaji wa zamani wa Bayern Manuel Neuer akielekea mwisho wa maisha yake ya soka, mchezaji…
WHO kuisaidia Rwanda kukabiliana na mlipuko wa Marburg
Shirika la Afya Duniani (WHO) linajiaandaa kupeleka msaada wa madawa nchini Rwanda, kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na ugonjwa huo hatari. Hatua hiyo inakuja kufuatia kuripotiwa kwa vifo sita nchini Rwanda,…
Breaking: Waliotumwa na Afande wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela, ‘Kesi ya Binti wa Yombo’
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza…
Wizara ya Afya Kenya yaanzisha kampeni ya kitaifa ya chanjo ya polio
Wizara ya Afya itazindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya polio kuanzia Oktoba 2 hadi 6, 2024, ili kukabiliana na mlipuko wa hivi majuzi wa virusi vya Polio. Wataalamu wanasema…
Hezbollah iko tayari kuwakabili wanajeshi wa Israeli
Naibu kiongozi wa wapiganaji wa Hezbollah wanaooungwa mkono na Iran nchini Lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema wapiganaji wake wako tayari kuwakabili wanajeshi wa Israeli iwapo wataanzisha mashambulio ya ardhini. Katika…
DC Morogoro akemea uchafu kwenye makazi na maeneo ya biashara
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Mussa Kilakala ametoa Rai kwa Wananchi na Wafanyabiashara Wilaya ya Morogoro kushiriki kwenye Utunzaji na Ulindaji wa mazingira kwenye maeneo yao ili kuufanya Mji…
Vladimir Putin aapa kufikia malengo yake ya ushindi nchini Ukraine
Rais wa Urusi Vladimir Putin aliapa kufikia malengo yake ya ushindi nchini Ukraine katika ujumbe wa video wa Septemba 30 iliyoenda sanjari na ukumbusho wa tamko lake la upande mmoja…
Taliban yawakamata washukiwa wa kundi la ISIS waliosababisha vifo vya watalii 3 wa Kigeni
Serikali inayoongozwa na Taliban nchini Afghanistan imetangaza kukamatwa kwa watu kadhaa wanaodaiwa kuwa wanachama wa tawi la kikanda la Islamic State ambao wanashukiwa kuwaua watalii watatu wa kigeni huko Bamiyan…
Raia wa marekani aliyeshutumiwa kuwa mamluki wa Ukraine,akiri mashtaka
Stephen Hubbard, raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 72, amekiri mashtaka katika mahakama ya Moscow kwa tuhuma za kujihusisha na mamluki, vyombo vya habari vya serikali ya Urusi viliripoti,…