Iran imesema haitatuma wanajeshi kupigana na Israel
Iran kupitia Wizara yake ya mambo ya kigeni inasema haitawatuma wanajeshi wake nchini Lebanon au katika Ukanda wa Gaza kupigana dhidi ya wanajeshi wa Israeli. Taarifa ya Iran inakuja wakati huu Israeli ikiripotiwa kuendelea…
DC Linda Salekwa abariki mashindano ya Pool Table….
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt Linda Salekwa ambaye pia ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika Mashindano ya Mchezo wa Pool Table yaliyoandaliwa na Kampuni ya Ryan Company nakufanyika siku ya…
Billioni 14.5 kusambaza umeme katika vitongoji 135 Ruvuma
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleleza mradi wa shilingi bilioni 14.56 wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 Mkoani Ruvuma utakaonufaisha Kaya 4,455 mkoani humo. Mhandisi Msimamizi wa…
Wafanyabiashara zaidi ya 1000 wakutanishwa na OASISI kujadi mambo ya kodi
WASHAURI wa masuala ya kodi nchini wameandaa kongamano ambalo litawakutanisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara zaidi ya 1,000 kutoka maeneo mikoa mbalimbali kwa lengo la kujadili matatizo ya…
Vijana tumieni mitandao ya kijamii kupongeza mazuri yaliofanywa na Serikali -MNEC ASAS
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Salim Asas amewataka vijana wote nchini kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa…
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne kutolewa leo
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi…
Watu 26 wameripotiwa kuambukizwa virusi vya Marbug tangu Septemba 27
Katika taarifa ya wizara ya afya iliyotolewa jana jioni, watu 26 wameripotiwa kuambukizwa virusi hivi tangu Septemba 27 wakati mlipuko wa kwanza kabisa wa Marburg ulipothibitishwa nchini humo. Waziri wa…
Lebanoni, Syria na Iran zimetangaza siku kadhaa za maombolezo ya kitaifa baada ya kifo cha kiongozi wa Hezbollah
Ni kwa zaidi ya wiki moja, jeshi la Israel limeendelea kuishambulia Lebanoni kwa mabomu, kwa lengo la kutokomeza Hezbollah. Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa uhasama, serikali ya Kiyahudi…
TANTRADE kushindanishwa tuzo za dunia ‘shirika la 8 kuteuliwa’
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imeorodheshwa kuwa kati ya mashirika nane ya kitaifa ya kukuza biashara yaliyoteuliwa kuwania tuzo za Shirika la Kukuza Biashara Duniani (WTPO) 2024 na…
Amuua mwenzake kisa Sh 200
Mwanaume mmoja aliyefahamika Kwa jina la Kulwa Bosco (27) maarufu Kwa Jin la Rasta anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linàmshikilia kulwa Bosco mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime…