TANTRADE kushindanishwa tuzo za dunia ‘shirika la 8 kuteuliwa’
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imeorodheshwa kuwa kati ya mashirika nane ya kitaifa ya kukuza biashara yaliyoteuliwa kuwania tuzo za Shirika la Kukuza Biashara Duniani (WTPO) 2024 na…
Amuua mwenzake kisa Sh 200
Mwanaume mmoja aliyefahamika Kwa jina la Kulwa Bosco (27) maarufu Kwa Jin la Rasta anashikiliwa na Jeshi la polisi mkoa wa Morogoro linàmshikilia kulwa Bosco mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 30, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 30, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Sillo awapongeza RSA kwa kutoa elimu ya usalama barabarani
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Daniel Sillo, ametoa Rai kwa Viongozi wa Usalama barabarani na Viongozi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kuwaunga mkono Mabalozi wa…
Rais Samia ahutubia wananchi zaidi ya 30,000 waliofurika uwanja wa majimaji Songea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo September 28,2024 amehitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoa wa Ruvuma kwa kuhutubia Maelfu ya Wananchi waliofurika Uwanja wa Majimaji…
Mwenge wa Uhuru wafika kwenye maradi Mkubwa wa BUWASA-Bukoba
Mwenge wa uhuru umeendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo unakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Akiwa katika manispaa ya Bukoba umepitia miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa upanuzi wa mtandao wa…
Waziri Ridhiwani Kikwete akabidhi vifaa vya mtaji kwa vikundi vya vijana Sengerema
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekabidhi vifaa mtaji kwa vikundi vya Vijana na Watu wenye Ulemavu vyenye thamani…
Walimu wa shule binafsi na za umma hakikisheni mnatoa msisitizo wa vitendo kwenye masomo ya Sayansi
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi wa chama CHAMA Cha mapinduzi Tanzania Bara Bw Joshua Mirumbe ametoa wito kwa walimu wa shule binafsi na za umma kuhakikisha wanatoa msisitizo…
Wakati umefika kwa Afrika kubadilika kwa kutumia nishati safi ya kupikia -Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kutoathiri afya…
Mbunge Bonah aahidi kuwaunga mkono wasichana wenye taaluma ya upishi na urembo
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Dar es Salaam Bonah Kalua ameahidi kuwaunga mkono wasichana wenye taaluma mbalimbali za masuala ya urembo na upishi katika mwanzo mpya wa kujijenga kibiashara. Kalua…