Vyama vya Ushirika vyatajwa kuwa mkombozi Kwa wananchi
Vyama vya Ushirika nchini vimetajwa kuwa mkombozi katika mashirika na taasisi mbalimbali Kwa kuwaunganisha wafanyakazi na Watu wa kada zote na kuwainua kiuchumi . Hayo yamesemwa na CPA Gabriel Msuya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Ziara ya SADC Live Your Dream maandalizi yafikia pazuri
Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku maandalizi yakitajwa kukamilika hivi karibuni…
Rais Samia afungua kikao maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi…
Malkia wa nguvu Mbeya yafana,hawa ndio washindi
Kilele cha tuzo za Malkia wa Nguvu 2024 kanda ya Nyanda za Juu kusini kimekamilishwa kwa Malkia sita wa Nguvu kukabidhiwa tuzo zao kwenye vipengele mbalimbali usiku wa Septemba 27…
Taasisi za Umma tumieni mfumo wa Nest kwenye manunuzi yenu
WAZIRI wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba amezitaka Taasisi za Umma ambazo hazijaanza kutumia Mfumo mpya wa kielektroniki wa manunuzi ya umma wa National – e – Procurement System(Nest) ziwe zimeanza…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Miaka 60 ya maadhimisho ya hifadhi za Ruaha,mambo mazuri yanakuja
Katika muelekeo wa kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Ruaha Mkuu wa Uhifadhi ya Taifa Ruaha Godwell Ole Meing'ataki imewahamasisha Wananchi nchini kujenga utaratibu wa kutembelea hifadhi…