Ufilipino inasema itawahamisha maelfu kutoka Lebanon ikiwa Israel itavamia
Ufilipino ilisema siku ya Ijumaa itawahamisha raia 11,000 kutoka Lebanon mara tu majeshi ya Israel yatakapovuka mpaka na kuanzisha mashambulizi ya ardhini dhidi ya Hezbollah, linaripoti Agence France-Presse (AFP). Mashambulizi…
Ole Gunnar Solskjaer ameeleza nia yake ya kutaka kuinoa tena Manchester United
Mkufunzi huyo wa Norway anaweza kutaka kurejea klabuni iwapo Erik ten Hag atamaliza muda wake. Uchezaji wa hivi majuzi wa Ten Hag umekuwa wa kuridhisha, huku United ikipata ushindi mara…
Anthony Gordon anakaribia kusaini mkataba mpya na Newcastle United.
Winga huyo wa Uingereza sasa yuko kwenye mazungumzo ya juu kuhusu mkataba mpya na mkuu wa Newcastle Paul Mitchell, linasema The Sun. Mkataba wa sasa wa Gordon unaendelea hadi 2026.…
Vyama 10 vya wafanyakazi duniani vyawshitaki Israel,wadai mishahara kwa wafanyakazi Laki 2
Vyama kumi vya wafanyakazi duniani vimewasilisha malalamiko yao vikiitaka Israel kuwalipa mishahara zaidi ya wafanyakazi 200,000 wa Kipalestina walionyimwa mishahara tangu kuanza kwa vita huko Gaza. Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa katika…
Mtambo wenye uwezo mkubwa wa matumizi ya umeme jua wafunguliwa Dar
Kampuni ya Sun King imefungua maduka matatu ya kisasa ya vifaa na mtambo mpya wenye uwezo mkubwa wa kuwezesha matumizi ya umeme jua katika juhudi za kuunga mkono jitihada za…
Israel-Hezbollah : Ving’ora vyapigwa kote Israel baada ya kombora kurushwa kutoka Yemen
Hezbollah ilirusha makombora kulenga makao makuu ya kampuni ya kutengeneza silaha ya Israel ya Rafael Advanced Defence Systems mjini Haifa siku ya Alhamisi, likiwa ni shambulio la tatu lililolenga kiwanda…
Japan yatoa wito kwa raia wake kuondoka Lebanon
Japan ndio nchi ya hivi punde zaidi kuwataka raia wake kuondoka Lebanon huku kukiwa na ongezeko la mashambulizi ya Israel. "Kwa sasa tunakagua usalama wa raia wa Japan wanaoishi Lebanon,…
Mapya yaibuka, wakili wa P Diddy ajitokeza aongelea chupa za mafuta zilizokutwa kwa rapper huyo
Wakili wa Sean "Diddy" Combs ametoa maelezo ya ajabu kwa nini chupa 1,000 za mafuta ya watoto zilipatikana wakati wa uvamizi wa nyumba za rapper huyo. Kulingana na shtaka ambalo…
Mwenge watua kwenye mradi wa maji wa RUWASA Missenyi unagharimu zaidi ya bilioni 2
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo leo umefika Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo. Ukiwa Wilayani Missenyi umepitia,kuzindua na…
NBC Yaipamba Mzizima Derby Zanzibar, Yakabidhi Tuzo, Fedha kwa Mchezaji na Kocha Bora Mwezi Agosti.
Zanzibar: Septemba 27, 2024 - Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba mechi kati ya Azam…