Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 2, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 2, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wananchi Lupembe wapunguziwa adha ya kukodi usafiri kwa ajili ya wagonjwa
Wananchi wa kata tano za Jimbo la Lupembe wilayani Njombe, wanatarajia kuondokana na adha ya kukodi usafiri kwa gharama kubwa pamoja na kupandisha wanawake wajawazito kwenye boda boda wanapofuata huduma…
Tume Huru ya Uchaguzi yaonya wananchi kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la mpiga kura
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi imewaonya wananchi kutojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwani kufanya hivyo ni kinyume cha sheria za Uchaguzi. Onyo…
“Wanawake wajasiriamali wapewa mafunzo maalum,Aweso atoa Mil 10 kuwawezesha”
Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso amechangia kiasi Cha shilingi Mil.10 kwa wajasiriamali wadogowadogo 600 waliopatiwa mafunzo maalum yanayoratibiwa na Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Tanga Mhe.Husna Sekiboko. Akizungumza mara…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 1, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali itaendelea kuunga mkono matamasha :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipojumuika…
JKCI imefungua tawi jipya katika jengo la Oyster Plaza
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua tawi jipya kuwapa wananchi nafasi kuwa karibu na huduma ili pale wanapopata changamoto za kiafya wasichukue muda mrefu kufuata huduma zilipo. Tawi hilo…
Rais Samia awakumbuka wenye uhitaji Morogoro sikukuu ya mwaka mpya 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa msaada kwa watu wenye uhitaji kwenye kituo cha walemavu Amani Kilichopo Chamwino Manispaa na Mission the homeless Kihonda.…
Wanajeshi wapatao 23 wa DRC wahukumiwa kifo kwa uasi
Wanajeshi wapatao 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na adhabu ya kifo au vifungo vya miaka 10 hadi 20 jela. Ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashitaka ya…