Mwenge watua kwenye mradi wa maji wa RUWASA Missenyi unagharimu zaidi ya bilioni 2
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo leo umefika Wilaya ya Missenyi kwa ajili ya kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo. Ukiwa Wilayani Missenyi umepitia,kuzindua na…
NBC Yaipamba Mzizima Derby Zanzibar, Yakabidhi Tuzo, Fedha kwa Mchezaji na Kocha Bora Mwezi Agosti.
Zanzibar: Septemba 27, 2024 - Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba mechi kati ya Azam…
Serikali imedhamiria kuhakikisha inaboresha sekta ya Usafiri kwenye nyanja zote – Kanali Evans
Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya usarifi wa maji pamoja na Miaka 50 ya uanachama wa shirika la bahari duniani huku serikali ikizungumzia mipango ya kuboresha…
TANROADS yaeleza mafanikio makubwa iliyopata katika kipindi cha miaka 3 ya utawala wa Serikali ya Awamu ya 6
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imesema inafanya usanifu wa kina na usimamizi wa Ujenzi wa Viwanja vya ndege, Madaraja na Barabara kulingana viwango vinavyohitajika . Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…
Msimamizi Uchaguzi Kasulu ametoa maelezo Uchaguzi kuzingatia 4R za Rais Samia
Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri yaWilaya ya Kasulu, Dkt. Semistatus H. Mashimba ametoa maelekezo ya Uchaguzi waSerikali za Mitaa wilayani humo kwa kutumiamfumo unaoakisi 4R za Mhe. Rais Dkt. SamiaSuluhu…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 27, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
VideoMPYA: Mkwaju mpya ‘Sweet Ginger’ ya Rhino The Don
Rhino The Don still anaendelea kuachia hit juu ya hit time hii kamshrikisha Appy ngoma inakwenda kWa jina la ‘Sweet Ginger’ , bonyeza PLAY hapa chini kutazama https://youtu.be/ndTdKOSB0j8?si=ohoB99713K2fUodI
Nyota wa Manchester United Kobbie Mainoo atakabidhiwa kandarasi mpya
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 amejiona akiibuka kama tumaini kubwa linalofuata katika safu ya kiungo kwa Mashetani Wekundu. Mainoo, ambaye aliisaidia timu hiyo kushinda Kombe la FA msimu…
Manchester United wanasubiri kutangaza usajili wa Obi-Martin.
Mshambulizi huyo chipukizi atahamia United kama mchezaji huru baada ya kuondoka The Gunners msimu uliopita wa joto. Gazeti la Manchester Evening News linasema makubaliano kuhusu fidia na Arsenal yalivunjwa mwezi…