Uongozi wa Tottenham hauna hofu hali ya kandarasi ya nahodha Heung-min Son
Mkataba wa sasa wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Korea Kusini unakaribia kuisha na unatarajiwa kumalizika mwezi Juni. Hata hivyo, Spurs wanashikilia chaguo la miezi 12 katika mkataba, ambalo watalianzisha…
Mafunzo ya kiswahili sanifu kwa Waandishi Waendesha Ofisi kuanza tena Oktoba 07
Mratibu wa Mafunzo, Dkt. Rizati Mmary ambaye ni Mchunguzi Lugha Mkuu- BAKITA, amesema wataendelea na mafunzo ya kiswahili sanifu kwa Waandishi Waendesha Ofisi (Masekretari) ambayo yataanza tena Oktoba 07 hadi…
Winga wa zamani wa Manchester United Zoran Tosic ametangaza kustaafu
Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Serbia anatundika daruga baada ya kukaa msimu uliopita nchini Ugiriki na PAS Lamia. Tosic, 37, alitangaza leo: "Kwa bahati mbaya, mambo yote mazuri…
Ibada ya kuwakumbuka wanafunzi 21 waliofariki kwenye ajali ya moto katika Shule Kenya yafanyika leo
Ibada ya madhehebu mbalimbali ya kuwakumbuka wanafunzi 21 waliofariki kwenye ajali ya moto katika Shule ya Hillside Endarasha Academy huko Nyeri, imefanyika mapema hii leo huko nchini Kenya. "Mioyo yetu…
Taliban yakataa ukosoaji wa sheria kali ziliziwekwa kwa wanawake ‘ni propaganda’
Serikali ya Taliban ilipinga Alhamisi wasiwasi uliotolewa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki hii kuhusu jinsi wanawake wanavyotendewa nchini Afghanistan. Australia, Kanada, Ujerumani na Uholanzi zilitangaza katika mkutano…
Kocha wa zamani wa Napoli ahusishwa na kibarua cha kuinoa Everton
Kocha wa zamani wa Napoli Maurizio Sarri anahusishwa na kibarua cha Sean Dyche katika klabu ya Everton. Il Corriere dello Sport inasema wamiliki wapya, Kundi la Friedkin, wanavutiwa na wazo…
Man United walitoa ofa ya €100m kumnunua Fati
Barcelona watakuwa wanajipiga chini huku Manchester United wakiwapa €100m kumnunua Ansu Fati katika msimu wa joto wa 2020. Gazeti la The Athletic linaripoti kwamba United iliwasilisha ombi hilo baada ya…
Victor Boniface kwenye rada ya Chelsea kama mlengwa wa uhamisho
Chelsea wamemuongeza mchezaji wa Bayer Leverkusen, Victor Boniface kwenye orodha ya chaguo ambazo klabu hiyo inalenga kusajili mshambuliaji majira ya joto, kwa mujibu wa TEAMtalk. Victor Osimhen wa Napoli, ambaye…
Uvumi wa Everton na kumuajiri meneja wa zamani wa Chelsea, Juventus si kweli -Romano
Fabrizio Romano amepuuza uvumi na stori za hivi majuzi zinazohusu Everton na uwezekano wa kuajiri meneja wa zamani wa Chelsea, Juventus na Lazio Maurizio Sarri. Sean Dyche amevumilia mwanzo mgumu…
Uhamisho wa Gyokeres kuchukua nafasi ya Nunez huko Liverpool utawezekana?
Liverpool wanafahamika kutayarisha uhamisho unaowezekana ili kurekebisha kabisa safu ya ushambuliaji ya Arne Slot msimu ujao wa joto huku wakiangalia majina makubwa kama Viktor Gyokeres na Nico Williams kama wanaoweza…