Dkt. Biteko awataka Wazalishaji kutumia fursa ya umeme Kuzalisha
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza mikoa na hamlashauri zote nchini kuhakikisha viwanda vilivyo katika mamlaka zao vinashiriki katika maonesho ya biashara ya kimataifa.…
Ulimwengu unataka kusitishwa kwa mapigano katika mpaka wa Israel-Lebanon :Blinken
Nchi kote ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na mataifa mashuhuri ya Kiarabu, zile za G7 na Umoja wa Ulaya, zinataka kusitishwa kwa uhasama kati ya Israel na Hezbollah kwenye mpaka wa…
Sudan: Mapigano makali yashuhudiwa mjini Khartoum huku jeshi likianzisha mashambulizi
Mashambulizi ya anga na makombora yalitikisa Khartoum siku ya Alhamisi wakati jeshi liliposhambulia maeneo ya wanajeshi katika mji mkuu wa Sudan, watu walioshuhudia tukio hilo na chanzo cha kijeshi kiliiambia…
Picha: CRDB Benki yafanya Mkutano huu unaolenga kuimarisha Ushirikiano
Ni Benki ya CRDB ambapo Septemba 25, 2024 wakiwa chini ya uongozi wa Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Prof. Neema Mori, na Mkurugenzi Mtendaji wetu, Abdulmajid Nsekela, walikutana na kufanya mazungumzo…
Rais Mwinyi:Bima kwa watalii inalenga kuimarisha sekta ya utalii Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua ya kuanzisha bima ya afya kwa watalii inalenga kuimarisha sekta…
Rais wa Urusi Vladimir Putin atoa onyo la nyuklia kwa nchi za Magharibi
Vikosi vya Urusi vimezidisha mashambulizi yao karibu na Vuhledar, na kufikia viunga vya ngome ya kimkakati ya Ukraine. Katikati ya matukio haya, vikosi vya Ukraine vimelenga maghala ya risasi ya…
Marekani yatangaza msaada mpya wa kijeshi wa Dola Billion 8 kwa Ukraine
Rais wa Marekani Joe Biden alitangaza zaidi ya dola bilioni 8 za msaada wa kijeshi kwa Ukraine siku ya Alhamisi kusaidia Kyiv "kushinda vita hivi" dhidi ya wavamizi wa Urusi,…
Picha: RAIS SAMIA aendelea na ziara yake, afika Wilaya ya Namtumbo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi waliofurika Barabara kwenye vituo mbalimbali ikiwemo kata ya Litola, Rwinga, Mchomoro na tarafa…
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akataa pendekezo la kusitishwa kwa mapigano
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Alhamisi alisema kuwa serikali yake haijajibu pendekezo la Marekani na Ufaransa la kusitisha mapigano kwa siku 21 na Hezbollah nchini Lebanon, na…
Amegundulika kuwa hana hatia ya mauaji baada ya kusota jela miaka 46
Mwanamume mmoja wa Japan ambaye alikaa Jela karibu nusu karne akitumikia hukumu ya kifo amegundulika kuwa hana hatia ya mauaji, Mamlaka za kisheria Nchini humo zimethibitisha. Anaitwa Iwao Hakamada, 88,…