Amegundulika kuwa hana hatia ya mauaji baada ya kusota jela miaka 46
Mwanamume mmoja wa Japan ambaye alikaa Jela karibu nusu karne akitumikia hukumu ya kifo amegundulika kuwa hana hatia ya mauaji, Mamlaka za kisheria Nchini humo zimethibitisha. Anaitwa Iwao Hakamada, 88,…
Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa mbogamboga Arusha
Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na kuboresha sekta ya kilimo hususani sekta ndogo ya mboga mboga na matunda pamoja na kuongeza usalama wa chakula, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeelezea utayari…
HESLB watoa taarifa kwa Umma juu ya SAMIA SCHOLARSHIP 2024/2025
Ni Septembea 26, 2024 ambapo Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inawatangazia wanafunzi na watanzania wote kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na makundi ya…
Mamlaka ya Iraq imewanyonga watu wasiopungua 21 kwa ugaidi
Mamlaka ya Iraq imewanyonga watu wasiopungua 21, akiwemo mwanamke, wengi wao waliopatikana na hatia kwa tuhuma za "ugaidi", vyanzo vitatu vya usalama vilisema Jumatano. Iliripotiwa kuwa idadi kubwa zaidi ya…
Viongozi wa dini wahimiza kusimamia ulinzi wa amani nchini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza viongozi wa Dini nchini kuendelea kusimamia misingi ya malezi na makuzi ya kwa watoto ili kuhakikisha tunu ya…
Ugonjwa wa UKIMWI bado ni changamoto kubwa duniani
Rais William Ruto ameuthibitishia ulimwengu kwamba maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini bado ni kero kubwa haswa kwa makundi ya wanawake na vijana wa umri wa balehe. Akizungumza Jumanne wakati…
Putin ageukia matengenezo sekta ya matumizi ya silaha za nyuklia
Rais Vladimir Putin wa Russia ameamuru mwongozo wa utumiaji silaha za nyuklia wa nchi hiyo ufanyiwe mabadiliko akionya pia kuwa nchi yake inaweza kujibu mapigo kwa silaha za nyuklia ikiwa…
Vijana wanaongoza kuharibu lugha ya Kiswahili-BAKITA
Baraza la kishwahili Tanzania (BAKITA) limesema vijana ndio wanaoongoza Kwa kuharibu maneno ya kiswahili sanifu kwa kutumia maneno ya mtaani. Hayo yamesemwa na katibu mkuu wa Baraza la kiswahili Tanzania…
Serikali imeendelea kuchukua hatua kadhaa ili kukibidhaisha Kiswahili
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua kadhaa ili kukibidhaisha Kiswahili ambapo Moja ya hatua hizo ni kuandaa Mkakati wa Taifa wa Kubidhaisha Kiswahili.…
Tumeridhika na thamani ya fedha iliyotekeleza mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima Ubora wa Maji
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Ndugu: Patrick Boisafi akiwa ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wametembelea mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima ubora…