Rais Samia apongeza AFDB,utekelezaji wa miundombinu ya barabara nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameishukuru na kuipongeza Taasisi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuwa mdau mkubwa wa sekta ya…
Mamlaka za Palestina zawarudishia Israel miili ya watu 88 kwenye kontena
Mamlaka za Palestina katika Ukanda wa Gaza zimeurejeshea utawala wa Israel kontena lililobeba miili ya Wapalestina 88 ambayo haitambuliki kutokana na kutoambatanishwa na taarifa zozote kuhusu utambulisho wao. Dr. Ismail…
Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa taasisi zinazosimamia maswala ya usafiri majini
Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa umoja wa kimataifa wa taasisi zinazosimamia masuala ya usafiri majini pamoja na makubaliano ya Djibouti wa ngazi ya juu utakaoshirikisha mawaziri wa nchi…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 26, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 26, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 26, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 26, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mwenge watembelea miradi mikubwa ya Kahawa inayogharimu mabilioni Wilyani Kyerwa na Karagwe
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 unaendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ukiwa unapitia miradi mbalimbali ya maendeleo Mkoani humo. Ukiwa Wilayani Kyerwa,pamoja na miradi mingine umefika katika Kiwanda cha kuongeza thamani ya…
Zelensky anasema Urusi inapanga kushambulia vinu vya nyuklia vya Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alishtaki Jumatano mbele ya Umoja wa Mataifa kwamba kiongozi wa Urusi Vladimir Putin anapanga kushambulia vinu vya nyuklia nchini mwake, akionya juu ya matokeo mabaya.…
Winga wa Chelsea aanza kujuta kujiunga Stamford Bridge
Winga wa Chelsea Pedro Neto tayari "anajutia" uhamisho wake wa kutua Stamford Bridge msimu wa joto, kulingana na Sky Sports Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno alisajiliwa na The Blues…
Benfica hawana uwezo wa kumzuia Neves kuondoka kwenda PSG
Rais wa Benfica Rui Costa amekiri ilikuwa vigumu kumuona Joao Neves akiondoka kwenda Paris Saint-Germain lakini akasema klabu yake haikuwa na chaguo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 alijiunga…
Rais Samia afungua barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66) – Ruvuma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua barabara ya Mbinga - Mbamba Bay yenye urefu wa kilometa 66 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami…