Rais Mwinyi: SMZ kujenga uwanja mpya wenye viwango vya FIFA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inajipanga kujenga uwanja mkubwa wa michezo utakaokuwa na vigezo vinavyokubalika na Shirikisho…
Wapalestina zaidi ya 41,000 wauwawa na wengine 95,000 kujeruhiwa tangu vita kuanza
Vita vya Israel dhidi ya Gaza vimeingia siku yake ya 355, na hadi sasa vimesababisha vifo vya Wapalestina wasiopungua 41,467 na kujeruhi wengine zaidi ya 95,921. Aidha, inaripotiwa ni zaidi…
Majadiliano ya ubadilishanaji wa mateka wa Israel na kundi la Hamas hakuna tena
Israel inasema kuwa majadiliano ya ubadilishanaji wa mateka na kundi la Hamas yamefikia kikomo, hii ni mara baada ya Jenerali Nitzan Alon akitoa taarifa hiyo kwa familia za Wana-Israel waliotekwa…
Eddie Howe anaweza kuwa mbadala wa Erik ten Hag
Football Insider inaripoti kuwa bosi wa Newcastle Eddie Howe anachukuliwa kuwa mbadala wa Erik ten Hag katika klabu ya Manchester United. Mashetani Wekundu wamestahimili mwanzo usiojali msimu, wakiwa katika nafasi…
Kipa wa zamani wa PSG Sergio Rico anakaribia kuhamia Qatar
Kipa wa zamani wa Paris Saint-Germain Sergio Rico yuko kwenye mazungumzo ya juu ya kujiunga na Al-Gharafa ya Qatar kama mchezaji huru, kulingana na Estadio Deportivo. Rico, 31, amekuwa hana…
Wizara ya Elimu nchini Kenya yaagiza tathmini ya usalama shule za bweni
Wizara ya Elimu nchini Kenya imeagiza kufanywa ukaguzi wa shule zote za bweni kutathmini utekelezwaji wao wa viwango vya usalama kufuatia visa 107 vya moto shuleni na vingine zaidi ya…
Arsenal wako tayari kumnunua Vlahovic
Kulingana na TeamTalk inaripoti kwamba mchezaji wa kimataifa wa Serbia Dusan Vlahovic sasa yuko juu ya orodha ya wachezaji wanaolengwa na The Gunners, na baada ya kuvumilia mwanzo mgumu wa…
Muswada Kenya wapendekeza muhula wa miaka saba kwa Rais
Mswada mpya unaotaka kuongeza muda wa Rais na viongozi wote waliochaguliwa kutoka miaka mitano hadi saba umechapishwa huko nchini Kenya. Sheria hii inayopendekezwa inayofadhiliwa na Seneta wa Nandi Samson Cherargei…
Raphaël Varane astaafu soka rasmi
Raphaël Varane ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 31. Beki huyo wa kati wa zamani wa Ufaransa alichukua uamuzi huo baada ya kupata jeraha baya la goti katika…
“Rodri ni mchezaji asiye na mbadala,kumkosa yeye ni pigo kubwa”-Guardiola
Pep Guardiola anatafakari kama atakuwa bila Rodri kwa msimu mzima na amemtaja kiungo wake nyota kuwa "hawezi kubadilishwa". Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipata jeraha linaloshukiwa kuwa la…