‘Nimezoea kila nafasi sasa’ -Nunes
Matheus Nunes amekiri kwamba kutokuwepo kwa Rodri kwa muda mrefu kutokana na jeraha baya la goti ni "hasara kubwa" kwa Manchester City lakini anaamini kuwa anaweza kuchukua nafasi ya kiungo…
Dkt. Biteko azitaka Wizara, taasisi na wakala Serikalini kutenga bejeti ya kutosha – Shimiwi
Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na…
Israel inaendelea kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza na Lebanon
Israel inaendelea kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza pamoja na Lebanon. Wizara ya afya inayoongozwa na Hamas katika Ukanda wa Gaza imeripoti kuuawa kwa watu 85 na wengine 104 kujeruhiwa…
China yafanya jaribio la kwanza la kombora la masafa marefu
China imethibitisha kurusha kombora la masafa marefu la balestiki (ICBM) kwenye bahari ya Pasifiki kwa mafanikio. Kikosi cha roketi cha Jeshi la Ukombozi wa Umma kilisema kuwa kombora hilo Lilirushwa…
Siku ya Wafamasia Duniani” Mfamasia kukidhi mahitaji ya kiafya duniani”
Siku ya Wafamasia Duniani, inayojulikana kama World Pharmacists Day, husherehekewa kila mwaka tarehe 25 Septemba na siku hii ni maalum kwa wafamasia ulimwenguni kote na inalenga kuongeza uelewa wa umma…
Video:Rais Samia amzungumzia waziri aliyegaragara ‘nalishukuru tumbo lililomleta hakuwahi kukosea’
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Jimbo la Peramiho, Mkoa wa Ruvuma linaloongozwa na Jenista Mhagama, amemsifu mbunge ambaye ni Waziri wa Afya kwa kazi anayoifanya ndani ya Serikali. "Nalishukuru tumbo…
Zelensky ataka Baraza la Usalama ‘kushinikiza’ Urusi kuleta amani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushinikiza Urusi kufanya amani na Kyiv. Huku akishutumu Iran na Korea Kaskazini kama "washiriki" katika vita vinavyoendeshwa…
Marekani kutoa dozi Milioni 1 za chanjo ya Mpox kwa nchi za bara la Afrika
Marekani itatoa dozi milioni moja za chanjo dhidi ya Mpox kwa nchi za bara la Afrika ambako janga hili linaendelea, Rais Joe Biden ametangaza siku ya Jumanne katika Umoja wa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
FCC yatakiwa kuongeza nguvu ya kuwa na maafisa wa kudhibiti bidhaa bandia nchini
Naibu Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara Balizi Dkt. John Simbachawene ameitaka Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) kuongeza nguvu ya kuwa na maafisa wa kudhibiti bidhaa bandia nchini katika Vituo…