Elimu ya usalama wa vyombo vya usafiri majini yatolewa Mara
Tanzania imekuwa mwanachama wa Shirika la Bahari Duniani (IMO) kwa takribani miaka 50 sasa na kumekuwa na juhudi za uboreshaji wa Sera ya Taifa ya Usafiri kwa njia ya maji…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 25, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 25, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
THBUB tuhuma za ukiukwaji wa haki za Binadamu North Mara sio za kweli
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imebaini kuwa tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu zilizotolewa na shirika lisilo la kiserikali la Mining Watch la nchini…
Rais Samia ataka wakulima kushikwa mkono kilimo cha kahawa, paprika na pilipili manga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka mradi wa shamba la kahawa la kampuni ya AVIV Tanzania Limited Lililopo katika kijiji cha Lipokela, wilayani…
Picha :Rais Samia alipotembelea kichanja cha kusafisha na kuanika Kahawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kichanja (dryer) cha kusafisha na kuanika Kahawa aina ya Arabica ya Kampuni ya AVIV Tanzania Limited…
Rais Samia azindua maghala 28 ya kuhifadhi chakula vijijini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika eneo la ghala la Luhimba, Mkoani…
Umoja wa Mabunge duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge…
Israel na Hezbollah waanzisha upya mashambulizi tangu 2006
Israel na Hezbollah zilibadilishana moto tena siku ya Jumanne ikiwa ni pamoja na shambulio jipya la anga la Israel huko Beirut wakati idadi ya vifo kutokana na mashambulizi makubwa ya…
Wafanyikazi wote waliosalia katika mgodi wa makaa ya mawe uliolipuka Iran wafariki
Iran ilisema Jumanne inaamini kuwa wafanyikazi waliosalia walionaswa na mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe mashariki mwa nchi hiyo wamekufa, na kusababisha idadi ya vifo katika moja ya maafa…
Takriban wafungwa wagonjwa 1,700 waachiliwa kutoka katika gereza kubwa zaidi la Congo
Takriban wafungwa wagonjwa 1,700 waliachiliwa Jumatatu kutoka katika gereza kubwa zaidi la Congo, waziri wa sheria alisema, kama sehemu ya juhudi za kupunguza magereza yenye msongamano wa watu nchini humo.…