Kuzimwa kwa mtandao kunakuathiri vipi..?
Wakati nchi ikielekea kwenye uchaguzi, waandishi wa habari wana wajibu wa kuhamasisha ushiriki wenye kuheshimu amani, uchaguzi huru na wa haki. Katika uchaguzi mkuu vyama vya siasa vya nchini vinatumia…
Tuunge mkono kwa vitendo mkakati wa taifa wa nishati safi ya kupikia- Mhe.Katimba
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba ametoa rai kwa wananchi kuunga mkono kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ambayo ni Ajenda…
Rais Samia aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa…
Rais Samia achangia Millioni 100 kwaajili ya ukarabati wa bwalo la shule ya msingi ya Chief zulu
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Millioni 100 kwaajili ya ukarabati wa bwalo la shule ya msingi ya Chief zulu na kuiagiza ofisi ya Halmashauri…
Aliyejifanya Jakaya Mrisho Kikwete apandishwa kizimbani DSM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujiwasilisha kama yeye ni Jakaya Mrisho Kikwete huku…
Telegramu sasa itatoa baadhi ya data ya mtumiaji kwenye mamlaka za Serikali
Programu ya kutuma ujumbe ya Telegram imesema itakabidhi nambari ya kipekee ya utambulisho inayotolewa kwenye kila kifaa kilichounganishwa kwenye mtandao kwa mamlaka zilizo na vibali vya kufanya upekuzi au maombi…
Mikel Arteta afichua uwezekano wa Martin Odegaard kurudi
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amekiri kwamba Martin Ødegaard huenda akawa nje kwa wiki chache zaidi. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Norway aliumia akiichezea nchi yake mapema mwezi huu na…
Rodri kukosa msimu uliosalia kutokana na jeraha la goti
Kiungo wa kati wa Manchester City Rodri ameripotiwa kupata jeraha kubwa la goti ambalo linaweza kumfanya kukosa msimu uliosalia. Ripoti kutoka ESPN na Athletic Jumatatu zimedai kwamba mchezaji huyo wa…
Southampton iko tayari kutoa ofa mpya kwa Dibling
Kocha wa Southampton Russell Martin anasema klabu iko tayari kumpa mkataba mpya Tyler Dibling. Dibling, 18, amekuwa mmoja wa nyota waliofanikiwa wiki za mwanzoni mwa msimu, akifunga bao lake la…
Galatasaray wanataka mkataba wa kudumu wa Osimhen
Galatasaray wanataka kumbakisha Victor Osimhen hadi msimu ujao wa joto, kulingana na mjumbe wa bodi ya kilabu İbrahim Hatipoglu. Hatipoglu alipuuzilia mbali ripoti kwamba mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria,…