Mpox yauwa zaidi ya watu 800 Afrika – WHO
Takriban watu 30,000 wanaoshukiwa kuwa na maambukizi ya Mpox wameripotiwa barani Afrika kufikia sasa, wengi wao wakiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC , Shirika la Afya Ulimwenguni lilisema…
Mshukiwa wa”jaribio la kumuua Donald Trump,” alikuwa na ratiba nzima ya matukio yake – FBI
FBI ilifichua Jumatatu kwamba mtu aliyekamatwa kuhusiana na jaribio la kumuua Rais wa zamani Donald Trump mapema mwezi huu alikuwa na orodha ya tarehe na maeneo ambayo rais huyo wa…
Polisi Arusha wachunguza tukio la kifo cha Mtu Mmoja kufariki Dunia
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aitwaye Johnson Josephat maarufu kwa jina Sonii (39) mkazi wa Unga Limited Jijini Arusha aliyefariki dunia…
Rais Samia asema Waziri wa maji na Katibu Mkuu wake ni wachapakazi,awapa miezi mitatu wananchi kupata maji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng Mwajuma Waziri ni wachapakazi sanana…
Biden kutoa hotuba ya mwisho kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kama rais
Rais Biden Jumanne atatoa hotuba ambayo itakuwa ya mwisho kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa - na inawezekana pia kuwa moja ya hotuba zake za mwisho katika jukwaa la…
Jurgen Klopp kuchukua mikoba ya Julian Nagelsmann
Kocha wa zamani wa Liverpool Jurgen Klopp ndiye anayelengwa na Ujerumani kuchukua nafasi ya Julian Nagelsmann ikiwa kocha huyo wa zamani wa Bayern Munich ataondoka baada ya Kombe la Dunia…
Navas yuko tayari kuhamia Barcelona
Keylor Navas yuko tayari kuhamia Barcelona kufuatia majeraha ya Marc-Andre ter Stegen ambayo huenda yakaisha msimu, Mundo Deportivo inaripoti. Ter Stegen anaweza kuwa nje kwa muda wa miezi tisa baada…
Miezi 11 ya vita, njaa inaendelea kwa Wapalestina wengi huko Gaza
Mchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula aliishutumu Israel kwa kufanya "kampeni ya njaa" dhidi ya Wapalestina wakati wa vita huko Gaza, madai ambayo Israel inakanusha vikali.…
Ndege za kivita za Japan zaonya ndege ya Urusi kwa mara ya kwanza
Japan ilisema ndege zake za kivita zilitumia miali ya moto kwa mara ya kwanza kuionya ndege ya upelelezi ya Urusi kuondoka kwenye anga yake, wizara ya ulinzi ya Tokyo ilisema,…
Bodaboda 600 washiriki maandamano ya amani wilaya Mlele mkoani Katavi
Zaidi ya maafisa wasafirishaji kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda mia sita (600) wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamefanya paredi maalum iliyotambulika Samia Bodaboda Day Kwa kupita…