Israel yaanzisha mashambulizi zaidi dhidi ya Hezbollah baada ya karibu watu 500 kuuawa Lebanon
Makombora yalishambulia kusini mwa Lebanon, na kuvunja ukimya wa asubuhi ya Jumatatu na kuripotiwa kuua zaidi ya watu 490 wakati Israeli ilisema inalenga silaha za Hezbollah zilizofichwa katika majengo ya…
UDSM yaanza ujenzi kampasi mpya ya kilimo Lindi
UJENZI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Ndaki ya Kilimo Kampasi ya Lindi unaoendelea kujengwa Ngongo Manispaa ya Lindi kupitia mradi wa HEET umefikia asilimia 23 ikiwa ni miezi…
Serikali yaanzisha mchakato wa kuridhia mikataba ya kimataifa ya kuhifadhi mazingira ya usafiri wa bahari
Serikali kupitia wizara mbili zenye dhamana ya mawasiliano na uchikuzi Tanzania bara na Zanzibar zimeanzisha mchakato wa kuridhia mikataba ya kimataifa ya kuhifadhi mazingira ya usafiri wa bahari kwa kusimamia…
Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa maji uliogharimu zaidi ya Bilioni 3
Mwenge wa uhuru mwaka 2024 leo umeendelea kukimbizwa Mkoani Kagera ambapo unakagua na kuzindua miradi mbalimbali ya kimaendeleo. Ukiwa Wilayani Ngara umezidua mradi wa maji wa Rusumo unaotekelezwa na wakala…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 24, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania September 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 24, 202
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waaanamanaji 42 wakamatwa wakiandamana kupinga gharama ya juu ya maisha
Nchini Ghana, polisi wamethibitisha kuwakamata waandamanaji 42 katika mji wa mkuu wa Accra, baada ya kutokea kwa makabiliano wakati wa maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha. Waandamanaji wanalalamikia…
Hali ilivyo leo mkoani Kigoma,polisi yafanya doria kuimarisha usalama
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma leo Septemba 23, 2024 limefanya doria za magari na miguu katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa ajili ya kuimarisha usalama wa…
Rais Samia akagua ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Songea
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100% Mkoani Ruvuma. Rais Dkt.…
Ashtakiwa kwa kuchukua mshahara na marupurupu kwa miaka 10 bila kufanya kazi
Afisa wa serikali nchini Thailand anakabiliwa na shtaka la kuchukua mshahara na marupurupu kwa miaka 10 bila kufanya kazi ipasavyo hata kwa siku moja. Kesi hiyo kwa mara nyingine imeibua…