BREAKING: Polisi “Mbowe, Lissu, Lema na wengine tumewakamata, hawajatekwa”
Kamanda wa Kanda Maalum DSM Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu na Mwenykiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless…
Korea Kusini yaonya kuhusu hatua watakaczo chukua dhidi ya puto za takataka kutokea Pyongyang
Korea Kusini ilisema Jumatatu itachukua "hatua madhubuti ya kijeshi" ikiwa mtu yeyote atauawa na wimbi la puto za kubebea taka zinazorushwa kuvuka mpaka na Korea Kaskazini. Pyongyang imetuma zaidi ya…
Zelensky awasili Marekani kujadili ‘mpango wa ushindi dhidi ya Urusi’ na Biden
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliwasili Marekani siku ya Jumapili kuwasilisha mpango wake wa vita kwa Rais Joe Biden, pamoja na wagombea urais Donald Trump na Kamala Harris, huku Marekani…
Maafisa wa usalama wa Iran wamepiga marufuku vifaa vya mawasiliano baada ya mashambulizi
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limepiga marufuku matumizi ya vifaa vingine vya mawasiliano baada ya mashambulizi mabaya yaliyolenga mshirika wake Hezbollah nchini Lebanon wiki iliyopita, maafisa wa…
Jeshi la Israeli limeshambulia shule kwa mabomu huko Gaza na kuua Wapalestina 3
Takriban Wapalestina watatu waliuawa wakati jeshi la Israel liliposhambulia kwa bomu shule inayohifadhi watu waliokimbia makazi yao katikati mwa Gaza mapema Jumapili. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina…
Picha :Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akamatwa na jeshi la polisi muda huu
Muda huu kutoka Magomeni Mapipa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekamatwa na jeshi la polisi baada ya kuonekana maeneo haya akizungumza na waandishi wa Habari, Mbowe amekamatwa yeye kisha Binti…
Mafuriko nchini Chad yaua watu 503 na zaidi ya milioni 1.7 waathirika tangu Julai
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Chad tangu mwezi Julai zimesababisha vifo vya watu 503 na kuathiri zaidi ya watu milioni 1.7, kwa mujibu wa ripoti iliyotumwa kwa shirika la habari la…
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aanza ziara nchini Marekani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anaanza ziara ya siku kadhaa nchini Marekani, fursa ya kuwasilisha mpango wake wa amani na kuendelea kuwepo kwa Ukraine katika anga ya kimataifa, zaidi ya…
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa na polisi
Kutokea magomeni Mapipa ambapo kulitarajiwa kuanza kwa maandamano ya amani ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuhusu Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya Wadau mbalimbali kuhusu kushinikiza…
Waziri Prof.Mkenda azindua kituo cha afya kilichogharimu Mil.500 wilayani Wanging’ombe
Wananchi wa kata ya Makoga halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe wameishukuru serikali kwa ujenzi wa kituo cha afya kilichogharimu Sh.500 Milioni na kudai kuwa kitawapunguzia adha ya kutembea…